Yuko wapi Asmaa Hani? Alikuwa mmoja ya watangazaji bora wa kike

Dibo10

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,298
1,563
Huyu dada alikuwa anatangaza redio uhuru kipindi cha bongo fleva pamoja na sebastian maganga.Na usiku kulikuwa kuna kipindi alikuwa anakiendesha bahati mbaya sikumbuki jina la kile kipindi . Alikuwa mtangazaji mwenye kipaji cha hali ya juu sana na weledi wa kutosha. Ana mchango wake mkubwa tu ktk kupeleka gurudumu la bongofleva mbele haswaa ukizingatia kipindi kile mziki wa kizazi kipya ulikuwa hauna nafasi sana kwenye media,Ni muda mrefu sana umepita sijawahi kumsikia popote pale,Yuko wapi? Bado anaendelea na kazi ya utangazaji? Nawasilisha
 
Back
Top Bottom