Yuko kwa mbaaaaali

2k Genius

Member
Feb 27, 2011
88
9
Mwalimu mmoja aliwapa wanafunzi wake zoez la kuchora tembo..kila mwanafunz akawa busy akichora katika karatas lake..mwanafunz mmoja ambaye hakujua kuchora akaweka alama ya nukta katikati ya karatas jeup,harafu akampelekea mwalimu
MWALIMU;we mbona hujachora chochote??
MWANAFUNZI;mwalimu mbona nimechora kwan huon{huku akimuonesha ile nukta}
MWALIMU;ndo nin hiki??
MWANAFUNZI;ni tembo yuko kwa mbaaaaaaaaaaaali,tena anakunywa maji
 
teeh teeh teeh!!! Kama mimi mwalimu nam-zoom huyo tembo ili niweze kumuona. Kweli ualimu ni wito.
 
Hahahahaha....umenikumbusha yule aliyeambiwa achore ng'ombe anayekula majani,yeye akachora majani mafupi mafupi....na mkia pembeni kabisa ya ile karatasi,alipoulizwa na mwalimu kwanini hajachora ngombe bali mkia tu alafu pembeni ya karatasi
Dogo akajibu:-
ww si ndo umechelewa kuja kumuangalia.!!?mm nimemchora lkn nilipomaliza tu mkia,akaondoka akaenda kula majani sababu alikuwa ashamaliza haya hapa,
na siajabu na huu mkia nao ukaishilia,ulisahau kutuambia tumchore alafu tumfunge kamba.....teh teh teh teh...yaani ina maana ngombe alishafika pembeni kabsa na ile karatasi..
 
ha ha ha ha.huyu ndio mkali wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom