Yu wapi Odong Odwar?

upupu

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
614
197
Kwa waliosoma udsm miaka ya 2005-2008 watakuwa wanamkumbuka huyu mwanaharakati kutoka Uganda, aliyekuwa mstari wa mbele kwenye kuandaa "makunji" kwa ajili ya kupigania maslahi ya wanafunzi wa Udsm, ila matokeo yake alitimuliwa akiwa mwaka wa tatu, taarifa zilizokuwepo ni kuwa alitimuliwa makerere kabla ya kuja udsm.
kwa mwenye taarifa zake, wapi huyu mwanaharakati wetu
 
Jamaa yuko vizuri sana katika ushawishi.
 
Museveni alimpokea kwa shangwe na dhihaka kwa ndege pale entebe atakuwa kesha mmeza
 
Back
Top Bottom