upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 197
Kwa waliosoma udsm miaka ya 2005-2008 watakuwa wanamkumbuka huyu mwanaharakati kutoka Uganda, aliyekuwa mstari wa mbele kwenye kuandaa "makunji" kwa ajili ya kupigania maslahi ya wanafunzi wa Udsm, ila matokeo yake alitimuliwa akiwa mwaka wa tatu, taarifa zilizokuwepo ni kuwa alitimuliwa makerere kabla ya kuja udsm.
kwa mwenye taarifa zake, wapi huyu mwanaharakati wetu
kwa mwenye taarifa zake, wapi huyu mwanaharakati wetu