Yu Wapi Mzee Ndesamburo?

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
Tangu kikao cha bunge la bajeti kianze hadi mwisho huyu Mzee sikumuona wala kumsikia! jee, nani mwenye habari za mheshimiwa huyu mbunge wa moshi mjini na muasisi wa CDM? jee, cdm watampitisha tena kugombea ubunge 2015 au wanae candidate mpya?

Kazi alizofanya mzee huyu ni za kupongezwa!
 
Ujifunze ku google..jana tu vyombo vingi vya habari vimereport kwamba katua uingereza..kama unaweza kuingia JF utashindwaje kugoogle?
 
AAA mimi nimeuliza tu! tena kwa nia nzuri tu usinielewe vibaya ndugu, ila ningependa kujua hali ya afya ya mzee wetu, jee anaendeleaje huko Uingereza?
 
Yuko poa kamiligado hana hata mafua, ila kuhusu kugombea tena sidhani kama atafanya hivyo.
 
Yuko poa kamiligado hana hata mafua, ila kuhusu kugombea tena sidhani kama atafanya hivyo.
Mpaka sasa aliyetangaza kugombea kwa tiketi ya CHADEMA ni Meya wa MOSHI, Bw. Jaffar
 
Back
Top Bottom