Elections 2010 Yu wapi mgombea mwenza wa CHADEMA?

kuna threads zimefutwa humu.
ya kwangu siioni pia wala ya PakaJimmy na......
 
Inavyoelekea watu huchagua mgombea urais tu, na yule mgombea mwenza anakuwa kama anafaidi tu matunda ya mgombea urais wake. Ndio maana utakuta mabango yanaandikwa "Chagua Kikwete" au "Chagua Dr. Slaa" au "Chagua Prof. Lipumba". Mimi binafsi siwajui wagombea wenza ila nawasikia sikia wakitajwa kama vile Said Mzee, Sheikh Yahya na Duni.
 
[/COLOR]
Tatizo lenu ni kudhani mnajua kilas kitu.

mtu Kauliza mgombea mwenza CHADEMA yuko wapi,wewe eleza yupo lindi,kigoma,tanga au kwingineko basi.

kwa sababu hata mimi simjui hata kwa sura,sijawahi kumuina au kumsikia kwenye media yoyote Bongo kama wenzake,Juma Dun na Ghalib Bilal.

Sasa tutamchaguaje wazee?

punguza hasira eleza alipo,ina maana yeye hapingi kampeini, kwani niliudhuria mkutano wa Dk Slaa Geita na Mirongoi Mwanza sikumuona

YUKO WAPI,PICHA YAKE,HATUVIONI HUMU JF KUNANI

Usione kila mtu ni mdanganyika kama wewe hapa JF. sikiliza kuanzia 1:24 habari hizi zimetoka kwenye TV yenu.

http://www.youtube.com/watch?v=CD2n_qgFgoc
 
Jamani,

Kwa kuwa Watanzania watampitisha kwa kishindo mtetezi wa wanyonge, kiboko ya ufisadi, mto elimu bure, saruji elfu tano. Train ya Umeme kwenda Dar-Mwanza.

Kwa hakika mgombea mwenza wake ndiye makamu wetu wa Rais mtarajiwa.

Picha zake na Nyomi za wananchi wanaohudhuria mikutano yake tuzibandike hapa!!!
 
Harafu kasheshe una tabia za kike kweli kweli
 
dk-gharib-bilal.jpeg

hapa kikwete alikuwa anauzulia
 
Du! Huko CHADEMA wanawake hamuwahitaji? Mbona mimi mama mtu mzima! Asante kwa kutambua jinsia yangu!
Tulifikiri ni mwanaume mwenye tabia za kike. Maana tunmhitaji mwanaume mwenye kutenda kama mwanaume. Kama wewe ni mama mtu mzima basi endelea tu huna kosa
 
Jamani Slaa na mgombea mwenza wanapiga kampeni bega kwa bega. Huwa anahutubia Makamu wa rais mtarajiwa then anamalizia rais mtarajiwa. jambo la maana tukumbuke kabla ya kutanguliza u-chadema, au u-ccm au u-cuf wetu sisi ni watanzania kwanza. tubishane kwa hoja, tuchambue udaifu/uimara wa hoja za vyama vyetu tuache hizi personal attacks sababu taratibu zitaangamiza taifa
 
hivi mgombea Mwenza wa daktari Slaa ratiba yake ya Kampeni ikoje maana kitambo sijamsikia wala kumuona tangu tutoke pale jangwani
 
Jamani Slaa na mgombea mwenza wanapiga kampeni bega kwa bega. Huwa anahutubia Makamu wa rais mtarajiwa then anamalizia rais mtarajiwa. jambo la maana tukumbuke kabla ya kutanguliza u-chadema, au u-ccm au u-cuf wetu sisi ni watanzania kwanza. tubishane kwa hoja, tuchambue udaifu/uimara wa hoja za vyama vyetu tuache hizi personal attacks sababu taratibu zitaangamiza taifa
Yuko Zenji gengeni kwake.
 
Ni muda mrefu sijamsikia yule msomi(amesoma hadi darasa la saba) na mgombea mwenza wa CHADEMA kwa nafasi ya Urais wa JMT.
Wadau,yu wapi huyo,au yupo bize kyusoma kwa njia ya posta?
 
Mgombea mwenza wa Slaa?Sijamuona katika kampeni na sehemu mbalimbali muda kwa mrefu.Yuko wapi huyu ndugu yetu?

Nadhani hili ni swali la msingi kwani kwa mujibu wa katiba mgombea ndiye rais mtarajiwa ikitokea rais akifa au kupata matatizo ya kiafya ambayo hayatamwezesha kutimiza majukumu ya kiserikali. Sijawahi kumsikia mgombea mwenza wa Chadema akihutubia kama wale wa vyama vingine vya siasa.
 
alichemsha Jangwani ndo maana wamemficha yeye ndo aliongea pumba pale jangwani mpaka matangazo ta TV yakakatwa.
 
Naona leo CCM imepandisha dau maana mnajipanga kama wanne kabla hamjaanzisha mada kibudu
 
Du! Huko CHADEMA wanawake hamuwahitaji? Mbona mimi mama mtu mzima! Asante kwa kutambua jinsia yangu!

Aaaaha ndiyo maana, Nirihisi tu kuwa wewe ni yule mama wa UWT kwa njisi IQ yako ilivyo. Je zoezi lako la kunyima unyumba linaendeleaje
 
Back
Top Bottom