Yu Wapi Faiza Fox (FF) jamani?

Apr 23, 2012
40
11
Inagawa mimi sio member wa siku nyingi, ila nimekuwa nikitembelea sana mitaa hii. Kwa tafsiri nyingine, na mimi ni mgeni-mwenyeji mtaani hapa. Ila kwa muda sasa sijaona posts za FF. Yuko wapi?

Alikuwa ananifurahisha sana na comments zake. Yeye muda woote alikuwa opposite kwa kila wazo lililokuwa likiletwa hapa. Na kiukweli alikuwa anaimudu sana kazi hiyo. Binafsi mimi nampongeza sana, maana inataka mtu uwe na kifua kweli!
 
Hupendi kuifikirisha akili yako. Hii ndo kazi ya PM! Mode akikupiga ban kwa kushindwa kutumia jamiiforums apps wala sintashangaa!
 
Ni bahati nzuri kwamba The Genius ni mwelelewa wa mambo mengi. Hana tabia ya kuingia ktk malumbano yasiyokuwa na tija. Hivi kweli wewe umepitia kanuni za matumizi ya JF? Hivi kwa akili yako, unawezaje kuPM mtu ambaye hapatikani kwenye forum? Au, ni kanuni gani inayozuia kuulizia member mwenzetu hadi uombe mod anipige ban? Hivi wewe una majirani kweli?

You cant be serious, huh!
 
Dialectic process: synthesis of opposites lead to higher truth. We must learn to accommodate dissenting opinions.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom