Youtube inaonesha Mchele Mchele aka Chenga Chenga

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
wadau sasa ivi nimejaribu kufungua youtube kwa kutumia ile teknolojia yetu ya hapa naona proxy zote youtube sehemu ya video imebadilika, ukibofya play inaonesha chenga chenga kama tv ikiwa channel haikamati.....anayejua tatizo ni nini anihelp please
 
Back
Top Bottom