Youngafrican imefia wapi

kmdh

JF-Expert Member
May 19, 2010
503
120
Kile kijiwe cha mabishoo na watoto wa vigogo kimefia wapi? Naona wanachama wengi wa kile kijiwe wamehamia hapa. Pumba za walizokuwa wanaandika kule wameziacha siku hizi. Labda wengi wameshakuwa watu wazima.
 
Back
Top Bottom