Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
- Thread starter
- #21
Sounds like u had a blast...
tena was a REAL one!
Sounds like u had a blast...
JS mapenzi yangu kwako ni kama machozi ya samaki......analia lakini huwezi kujua analia manake machozi yanakwenda na maji.....LOL How are you?
Karibu tena MJ wa ukweli
JS mapenzi yangu kwako ni kama machozi ya samaki......analia lakini huwezi kujua analia manake machozi yanakwenda na maji.....LOL How are you?
sasa na 'next level' mwenyewe aitwe MARANGU NIGHT PARK AU?Naomba nmjibie kuwa hapo ni 'next level'....
unapazungumziaje MARANGU NIGHT PARK mkuu maskini jeuri?
sasa na 'next level' mwenyewe aitwe MARANGU NIGHT PARK AU?
halafu siku hizi mbonaaaaaaaa...........
ahaaaaaaaaaaaa moyo umesuuzika Kaizer baada ya kusoma maneno yako matamu ulikuwa wapi mpenzi siku zote hizo sikuoni sikusikii sikupati dah afadhali umerudishwa na mnyeeezi mungu. Am doing ok binamu vipi wewe??
Asante sana JS! kama Idd Amin alivyosema baada ya kualikwa na Malkia........nami nita WAREVENGE in FuLL!.......:becky:
Hahahahaa!!! zile valuu je??haya!
na zile bia zisizo na kilevi vipi?
ahaaaaaaaaaaaa moyo umesuuzika Kaizer baada ya kusoma maneno yako matamu ulikuwa wapi mpenzi siku zote hizo sikuoni sikusikii sikupati dah afadhali umerudishwa na mnyeeezi mungu. Am doing ok binamu vipi wewe??
alikuwa biz ana-cheat
:roll:
B...miss u here...
usije ukasema na nani B utaharibu mazima!:lie:
Hahahahaa!!! zile valuu je??
Usiwe na wasi, ukija tena utakuta tumetayarisha, unachinja mwenyewe, yani autahitaji kutafuta.....Pale ni STOP OVER ya ukweli................bahati mbaya sikuwahi kusaminisha Mbuzi wao!
Hahahahaa!!! zile valuu je??
haki ya nani vile ni kweliGosh Birigita avatar yako mbaya samahani kama nimekukwaza :crying: