You made me feel like a King!

JS mapenzi yangu kwako ni kama machozi ya samaki......analia lakini huwezi kujua analia manake machozi yanakwenda na maji.....LOL How are you?

Kaizer don't worry interest zako zilikuwa protected well and beyond hata Bruce Lee wetu siku hiyo hakuona ndani!
 
JS mapenzi yangu kwako ni kama machozi ya samaki......analia lakini huwezi kujua analia manake machozi yanakwenda na maji.....LOL How are you?

ahaaaaaaaaaaaa moyo umesuuzika Kaizer baada ya kusoma maneno yako matamu ulikuwa wapi mpenzi siku zote hizo sikuoni sikusikii sikupati dah afadhali umerudishwa na mnyeeezi mungu. Am doing ok binamu vipi wewe??
 
sasa na 'next level' mwenyewe aitwe MARANGU NIGHT PARK AU?
halafu siku hizi mbonaaaaaaaa...........

Haaaaaaaaaaaaaaaa!.........duh ama kweli cheating imeshafikia another next level.....nilikuwa mbado....

we niko busy sana sa ivi na maponjoro

Of course unabidi apajue
 
ahaaaaaaaaaaaa moyo umesuuzika Kaizer baada ya kusoma maneno yako matamu ulikuwa wapi mpenzi siku zote hizo sikuoni sikusikii sikupati dah afadhali umerudishwa na mnyeeezi mungu. Am doing ok binamu vipi wewe??

kweli nimerudishwa na ndo maana nilivokuona basi na miye nikasuuzika, na hivi nimeambia na MJ apo juu kuwa u were well protected.......:A S tongue:
 
ahaaaaaaaaaaaa moyo umesuuzika Kaizer baada ya kusoma maneno yako matamu ulikuwa wapi mpenzi siku zote hizo sikuoni sikusikii sikupati dah afadhali umerudishwa na mnyeeezi mungu. Am doing ok binamu vipi wewe??

alikuwa biz ana-cheat
 
Wonderful !Kumbe umeingia kwenye Jiji bila taarifa ..next time utakuwa under arrest ....
 
Back
Top Bottom