You know you are addicted to Facebook when......

Nyani Ngabu.., Hata hivyo jina lako halikutokea, na wakanishauri niangalie vizuri spelling, au nitumie email address kukuadd! Inaonekana kule hujulikani kabisa kama hapa JF
...:D
 
Nyani Ngabu.., Hata hivyo jina lako halikutokea, na wakanishauri niangalie vizuri spelling, au nitumie email address kukuadd! Inaonekana kule hujulikani kabisa kama hapa JF
...:D

Sipo kabisa huko....
 
wakina Bikra wanakuja online ila kanipa namba fake mshamba yule.....

Unaona sasa...ndo matokeo yake hayo...

Halafu mtandaoni unaweza ukajikuta unatongoza dume lenzako....Lol..

Mtaani ni ana kwa ana....
 
Unaona sasa...ndo matokeo yake hayo...

Halafu mtandaoni unaweza ukajikuta unatongoza dume lenzako....Lol..

Mtaani ni ana kwa ana....
tehe tee hii kweli kabisa....alafu facebook bana mashori wanaweka mapicha ya mamodel wa kibrazili watu wanaingia mkenge.....
 
tehe tee hii kweli kabisa....alafu facebook bana mashori wanaweka mapicha ya mamodel wa kibrazili watu wanaingia mkenge.....

Sasa mkuu majina nayo wanaweka ya Kibrazil au wanatumia kwao asilia kama Havintishi, Siwajibu, Mwanahewa?
 
Nimeingia Ubia with myspace na Tila Taquila.Wale wasiyokuwa na myspace account yaani inabidi ndiyo hivyo tena you need to open an account niweze kupata hits ulaji huo.

www.myspace.com
 
Sasa mkuu majina nayo wanaweka ya Kibrazil au wanatumia kwao asilia kama Havintishi, Siwajibu, Mwanahewa?
Thubutuuuuuu......si unaona hata kina Sasha Fierce,Shaniqua,Tyra,Candy,tacy,Tameka......waongo haoooooo
 
a day cant pass by without poppin by to check your profile if any chic got a crush on ur ugly face.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom