You broke my heart cacico...!!!

utaoga kwangu na kubadilishia kwangu, mavazi yetu ni yaleyale ya jmosi so no problem, design zile ninazo kibao, kha, usikoseje sasa??

dah hapa sasa inabidi nitafute mtu wa kwenda kuoga naye manake na jua weye utakuwa na mukenya wako miye je? namwona mziba pancha yuko bize sasa sijui nimtafute nani jamani wafuatao wachague kama wanapenda kuoga na mimi leo nyumbani kwa cacico,nao ni Bazazi cartura BAK Mr Rocky saint ivunga Invisible Erickb52 wengine nani vile waendelee. first come first save
 
Last edited by a moderator:
sasa shida iko wapi? njoo nikupe mfurusadi ukiwa na mmavimavi haya yote kwisha habari yake. hatotia mtu maguu kwenye himaya ya mukenya chezeya magwiji weye....
heheheiya, kanizoeaje sasa mukenya na vituko vyanguuuu??/ kha! nitafutie ile mizizi pulizzzzzzz ya mmavimavi kabla sijasema idadi ya 96 inawakilisha nini hapa duniani. lolest! HALO, HALO, WINE, WINE,,,, HALO, HALO, KONYAGI, KONYAGI!!! kha nacheka sana kila nikumbukapo lolest!
 
dah hapa sasa inabidi nitafute mtu wa kwenda kuoga naye manake na jua weye utakuwa na mukenya wako miye je? namwona mziba pancha yuko bize sasa sijui nimtafute nani jamani wafuatao wachague kama wanapenda kuoga na mimi leo nyumbani kwa cacico,nao ni Bazazi cartura BAK Mr Rocky saint ivunga Invisible Erickb52 wengine nani vile waendelee. first come first save
maji ya kuoga niyaweke mdalasini au nafsa?? na mafuta je ya kupaka, nikuwekee ya mbuyu au ya alizeti nataka baada ya kuoga na kutoka kiuno nikione kinazunguka kupita pangaboi, lolest!
 
Nishafika mimi gfsonwin wa kwanza
Twende zetu mama nikakupe maraha ya Bafuni faster
 
Last edited by a moderator:
maji ya kuoga niyaweke mdalasini au nafsa?? na mafuta je ya kupaka, nikuwekee ya mbuyu au ya alizeti nataka baada ya kuoga na kutoka kiuno nikione kinazunguka kupita pangaboi, lolest!
cacico hujambo?
Ngoja niende nkamuogeshe gfsonwin mara moja nakuja tuige story mama!
Miss you sooooo much!
 
Last edited by a moderator:
umeonaeeeee The secretary, yaani yaani, ndio mpango mzima!! hawajambo wanangu huko na dad wao?? Bishanga umeshakubali akukague au bado msisitizo ni ule ule??

hajambo na dad wake muzima yeye nilimpa masharti kunikagua labda nimpeleke mabwepande bado anajifikiria halafu siwezi kuvunja masharti ya babu Asprin mpaka amuombe ruhusa ya kumkagua mjukuu wake mtukufu
 
Last edited by a moderator:
hajambo na dad wake muzima yeye nilimpa masharti kunikagua labda nimpeleke mabwepande bado anajifikiria halafu siwezi kuvunja masharti ya babu Asprin mpaka amuombe ruhusa ya kumkagua mjukuu wake mtukufu
The secretary kama umeshauonja ukaguzi wa ODM basi utakubaliana nami, kha yule babu ni kiboko, mi penda yeye mnooooo! Bishanga yu[po kuleee kaitisha kibao kata, madogo yana ahueni wallah!
 
Last edited by a moderator:
maji ya kuoga niyaweke mdalasini au nafsa?? na mafuta je ya kupaka, nikuwekee ya mbuyu au ya alizeti nataka baada ya kuoga na kutoka kiuno nikione kinazunguka kupita pangaboi, lolest!

kungwilo cacico naona aliyekuja wa kwanza ni huyu Erickb52 nikimuogeshea maji ya nafsa atadeka na mgongoni nimbebe, nikitumia mdalas/=? ya alizeti nitanuka maandazi.
 
Last edited by a moderator:
Nishafika mimi gfsonwin wa kwanza
Twende zetu mama nikakupe maraha ya Bafuni faster

mmh wewe uliyezoea kutoka na vitoto utaniweza miye? maji yangu yatekwa kwa kata wala siyo kopo, na lazima yawe ya kisimani yenye nafsa, mafuta yangu shurti yawe ya ubuyu unichue kiunoni, mapajani na mgongoni. uturi wangu miye ni wa udi, tena wa kuchoma,chetezo wajua kukikoleza weye?? haya hata huyo Bishanga wenu hayajui.
 
Last edited by a moderator:
The secretary kama umeshauonja ukaguzi wa ODM basi utakubaliana nami, kha yule babu ni kiboko, mi penda yeye mnooooo! Bishanga yu[po kuleee kaitisha kibao kata, madogo yana ahueni wallah!

Mi ni kijukuu pekee ambaye hajanikagua ananienda sana.mwoneeni huruma bishaija wa watu ana makonfusheni kibao
 
Last edited by a moderator:
Khaa!..............haya ni mageni kwangu lol! nini tena babito?

nendeni mkatafute supa gluu muurudishie huo moyo hata kama utakua na ufa ni poa kuliko ulivyovunjika mmmh! chezeya gwiji la jiji yeye.

Yaaani we acha tu gfsonwin. cacico amenitenda eti kisa.....
 
Last edited by a moderator:
weye mwenzio niko kwa ofc hebu usinivunje mbavu. Dogo alikua anapima kina cha maji kwa mguu anafikiri itakuwaje? matokeo yake.....................

btw mzima weye na bi mkubwa?

Sasa na wewe gfsonwin ulitaka nipime maji na kijiti?
 
Last edited by a moderator:
We Cacico umemfanza aje Young Master!? jamaa kawa mshairi ghafla,kweli love is not crazy!! afterall those publications and open declarations kuwa anakupenda sana,

Sijaanza kuwa mshairi leo...Pitia thread zangu za nyuma utakuta mashairi kibao...ila Dah!!! we acha tu Pombekali. Naomba na mimi unikaribishe kwenye crew yako ya unywaji wa pombe kali.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom