Yote hayo ya nini?

masasi

Member
Aug 3, 2010
48
0
inashangaza kuona rais aliyekaa madarakani kwa miaka mitano jinsi chama chake kinavyopata shida kwenye kulazimisha watu wamkubali mgombea wao kwa kuandaa mabango ya kila aina,kufanya kila aina ya umafia hata wa kupandikiza wagombea kwenye vyama vya upinzani ili kuvidhoofisha,hivi chama hiki kizee kinatupeleka wapi?tuamke na tuseme inatosha hatudanganyiki tena
 
MASASI wahenga walisema " kibaya cha jitembeza, chema chajiuza" it takes alot of efforts and resources to justify the credibilty of CCM
 
inashangaza kuona rais aliyekaa madarakani kwa miaka mitano jinsi chama chake kinavyopata shida kwenye kulazimisha watu wamkubali mgombea wao kwa kuandaa mabango ya kila aina,kufanya kila aina ya umafia hata wa kupandikiza wagombea kwenye vyama vya upinzani ili kuvidhoofisha,hivi chama hiki kizee kinatupeleka wapi?tuamke na tuseme inatosha hatudanganyiki tena

Inabidi tuamshane jamani, kwani wengine tumeishaamka ila wengine ndo kwanza wanatia mablanket vichwani!
 
Back
Top Bottom