Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Ni kweli mkuu, Yesu siyo mungu,ni Mungu. Kumbuka mungu siyo Mungu, halafu neno sahihi ni wagalatia siyo wagaratia, inaonekana upstairs una matatizo maana you are too naive and low in thinking

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu.

Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo
38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha
wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nani?
 
mungu apewe kibano na viumbe alio waumba?hii haijakasawa mkuu ukubali ukatae huyu jamaa cyo mungu aafu mungu gani anatahiriwa mkuu tuliza mkuu alafu cyo wote walevi na wazinzi ila lete hoja Acha kutokwa povu
Wewe acha matumizi ya ubongo wa samaki,

Unashangaa Mungu kupigwa katika umbo la mwili! na kudhihakiwa, unapotenda kinyume na matakwa yake sasa hivi, anakufanyaje ilhali anauwezo wa kukugeuza ngisi kwa tamko tu na ukaliwa?

Nyie watu hata upeo wenu una mashaka kidogo, unashindwaje kuona logic kwa jambo dogo kama hili?
 
Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu.

Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo
38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha
wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nani?
Sasa nakuuliza wewe ujibu kwa niaba ya waislamu wenzako wote.

Sisi wakristo,

Tunaamini Yesu ni Mungu mwenyewe katika mwili wa nyama na damu, aliyeuvaa mwili huo aje kufa duniani tumjue na kumfuata.

Wewe ukiwa kama muislamu, unatumia vigezo gani kukataa uungu wa Yesu? Kwa kudhani ni yule issa uliyefundishwa habari zake tokea madrasa?
 
Sasa nakuuliza wewe ujibu kwa niaba ya waislamu wenzako wote.

Sisi wakristo,

Tunaamini Yesu ni Mungu mwenyewe katika mwili wa nyama na damu.aliyeuvaa mwili huo aje kufa duniani tumjue na kumfuata.

Wewe ukiwa kama muislamu, unatumia vigezo gani kukataa uungu wa Yesu???? Kwa kudhani ni yule issa uliyefundishwa habari zake tokea madrasa?????

Na tuanzie na sifa za Mwenyezi Mungu ndani ya Qurani na biblia

Kutokuchoka

Kwa kuzingatia udhaifu mkubwa uliomo katika sifa dhaifu ya kuchoka ambayo pia inawakabili viumbe vyake na kwa kuzingatia kuwa yeye hana mfano wa yeyote wala na chochote katika kila hali, ni wazi kuwa siifa kuu nyingine ya Mungu wa kweli ni kutokuchoka (Yaani Mwenyezi Mungu daima ameepukana mbali na sifa ya kuchoka).

Kwa mantiki hiyo basi, ni wazi kuwa sifa hii nayo pia ni kigezo kingine muhimu kinachoweza kuwa hoja ya msingi ya kutofautisha Allah na Yehovah iwapo tu itabainika 'mmoja wao' hana sifa hiyo.

Hata hivyo, tusomapo maandiko ya Qur’ani Tukufu na Biblia takatifu tunaona vyote kwa pamoja vimuelezea Mweyezi Mungu yule yule mmoja aliyejitambulisha kwa Manabii wake mbali mbali kwa majina tofauti kwamba ndiye mwenye sifa hiyo.

Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maandikio yafuatayo ya Qur’ani Tukufu na Biblia Takatifu:

Biblia:

"Je! wewe hukujua? hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki". (Isaya 40:28).

"Na tumeziumba mbingu na ardhi na vilivyomo kati yao katika nyakati sita, wala hayakutugusa machofu" (Qur’an;an 50:38).

Kulingana na shuhuda hizo juu, tunaona wazi kuwa Qur’ani Tukufu na Biblia Takatifu vyote kwa pamoja vinafundisha kuwa Mwenyezi Mungu yule yule mmoja aliyejifunua kwa Manabii wake mbali mbali kwa majina tofauti ndiye pekee asiyekuwa na sifa hiyo dhaifu ya kuchoka.

Kwa shuhuda hizo, ni wazi kuwa sifa hii nayo pia inadhihirisha kuwa Allah na Yehovah ni Mwenyezi Mungu yule yule mmoja, Muumbaji wa kila kinachoonekana na kisichoonekana, mwenye sifa kamilifu.

Kutokufa (Yu Daima)

Kwa kuzingatia kuwa yeye hafanani na kiumbe wake yeyote wala chochote katika kila hali, ni dhahiri kuwa sifa kuu nyingine ya msingi ya Mungu wa kweli ni lazima iwe kutokufa, hasa kwa kuzingatia kuwa yeye pekee yake ndiye anayetegemewa na viumbe wake wote kwa kila haja, kwa vile yeye peke yake ndiye Mwendeshaji wa mambo yote katika kila sekunde.

Hakuna yeyote wala chochote kinachoweza kuendesha ulimwengu na kukidhi haja zote za viumbe wote katika muda wote ambao Mungu angekufa.

Kwa mantiki hiyo basi, ni wazi kuwa sifa hii nayo pia ni kigezo muhimu na cha msingi kimachoweza, kuwa hoja ya msingi ya kutofautisha Allah na Yehovah iwapo tu itabainika 'mmoja wao' hana sifa hiyo. Hata hivyo, tusomapo maandiko ya Qur’ani Tukufu na Biblia Takatifu tunaona vyote vinafundisha kwamba mwenye sifa hiyo (ya kutokufa) ni Mwenyezi Mungu peke yake aliyejifunua au kujitambulisha kwa Manabii wake mbali mbali kwa majina tofauti.

Maandiko yafuatayo ya Qur’ani Tukufu na Biblia Takatifu yanathibitisha ukweli huu:

Biblia:

"Nitasema, Ee Mungu wangu, usiniondoe katikati ya siku zangu; Miaka yako nitangu kizazi hata kizazi. hapo mwanzo uliutia msingi wa nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako. Hizi zitaharibika, bali Wewe utadumu; Naam, hizi zitachakaa kama nguo; Na kama mavazi utazibadilisha, Nazo zitabadilika. Lakini Wewe U yeye yule; Na miaka yako haitakoma". (Zaburi 102:24-27).

"Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu" (Kutoka 3:14).

"Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina". (1 Timotheo 6:16).

Qur’an:

"Wala usimuombe - pamoja na Allah (Mwenyezi Mungu) - Mungu mwingine; hakuna aabudiwaye kwa haki ila Yeye; kila kitu kitakufaisipokuwa yeye (Mwenyezi Mungu basi). Hukumu (Yahova mambo yote) iko kwake, na kwake mtarejezwa (nyote)". (Qur’ani 28:88).

Aidha, kwa sifa yake ya kutokuonekana ni wazi kuwa hakuna yeyote wala chochote (na chenye uwezo wa) kumwua.

"Allah (Mwenyezi Mungu) hakuna Mola ila yeye, (na) ndiye mwenye uhai wa maisha, Msimamia kila jambo..." (Qur’an, 2:255).

Kulingana na shuhuda hizo juu, tunaona wazi kuwa Qur’an Tukufu na Biblia Takatifu vyote kwa pamoja vinafundisha kwamba Mwenyezi Mungu yule yule mmoja aliyejifunua au kujitambulisha kwa Manabii wake mbali mbali kwa majina tofauti ndiye peke yake mwenye uhai wa milele (yu daima) - hafi-na kwa ujumla yeye peke yake ndiye mwenye sifa ya kutokufa.

Kwa shuhuda hizo, ni wazi kuwa sifa hii nayo pia inadhihirisha wazi kuwa Allah anayefundishwa na Qur’ani Tukufu ndiye Yehovah anayefundishwa na Biblia Takatifu kwa majina tofauti.

Ukweli huu tunaupata katika Qur’an, Torati, Zaburi, Injili .
 
Ok kwa maana hiyo haya yote yazingekinzana na maisha ya Yesu, moja kwa moja ungekubari kwamba ni Mungu?.

Sasa sisi tulioambiwa kwamba atachukua mwili aje kukaa kwetu akiwa na mwili wa kibinaadamu(unaielewa point yetu sasa?), kwamba mwili wa kibinaadamu una sifa zisizobadirika.ili Mungu mwenyewe asikinzane na sifa zake kwamba, hachoki, haumwi njaa, hafi, haonekani, ilibidi auvue utukufu wake mbinguni na kuuvaa mwili wenye mapungufu hayo.

Swali ni je, kama alikufa siku tatu akiwa kaburini mamlaka na nguvu vilikuwa chini ya nani, maana Mungu hafi na akifa sio Mungu, (SWALI HILI MSINGI WAKE NI KWAMBA, UNAYEULIZA SWALI HILI TAYARI UMEKADIRIA UKOMO WA UWEZO WA MUNGU) kwamba mungu kuna mambo hawezi kufanya yako juu ya uwezo wake.lakini jibu ni rahisi, uliokufa ni mwili sio Utukufu wake, na kudhihirisha kwamba utukufu wake uliishi bado mauti hayakuwa na mamlaka na mwili ule ukachukuliwa tena.

Mpaka hapo?
 
Bible siyo kama kitabu cha hadithi ambacho kila mtu anasimulia na kufasiri, kila mtu ashike imani yake maana hukumu ya siku za mwisho haitakuwa kwa makundi. Mimi msimamo wangu ni huu,

YESU KRISTO NI MUNGU
Bible hii hii kila siku inachakachuliwa we tuonyeshe tu aliposema yeye ni Mungu. Toroka uje
Kwahiyo Yesu amegawanyika sehemu ngapi? Katika kugawanyika huko je ana uwezo na mamlaka yaliyo kamili au ni tegemezi? Kama ni tegemezi je anamtegemea yupi zaidi ya yeye mwenyewe.

Yohana 17:3-4

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
4 Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye
 
Bible hii hii kila siku inachakachuliwa we tuonyeshe tu aliposema yeye ni Mungu. Toroka uje
Hivi huko nako huwa mnafundishwa kampeni?????

Sasa kama hii ni kopy original unayo tuisome hapa????
 
Sasa nakuuliza wewe ujibu kwa niaba ya waislamu wenzako wote.

Sisi wakristo,

Tunaamini Yesu ni Mungu mwenyewe katika mwili wa nyama na damu.aliyeuvaa mwili huo aje kufa duniani tumjue na kumfuata.

Wewe ukiwa kama muislamu, unatumia vigezo gani kukataa uungu wa Yesu???? Kwa kudhani ni yule issa uliyefundishwa habari zake tokea madrasa?????
labda wanaona wivu wakristo mna mungu,ha haha.
Actually ndugu zanguni wakorinto kusema ukweli kuhusu yesu mnajitoa sana ufahamu kwa faida gani hata sielewi..
Poleni sana na huo mzigo,kumbukeni mtasubiri saaaana tu,msije kusema hatukuwambia
 
Hayupo anayejitoa ufahamu.

Kwetu Yesu ni Mungu, wala sio kitu kingine.
 
Masiha wa kwanza anaetambulika rasmi alikuwa mfalme wapersia akiitwa cyrus,huyu ndo kristo aliyelijenga hekalu la jerusalem baada ya kuwa limevunjwa na wababeli,kwa mjibu wa biblia jehova alimpa umasihi huyu mfalme na aliweza kuwarudisha wayahudi toka babel kurudi caanan na akawajengea hekalu na hapo unabii wa wayahudi kuwa siku za mwisho hekalu litabomolewa na masiha atakuja kulijenga upya ulitimia.

Actually wao ndio waliamini hivyo kwamba siku za mwisho zimefika, lakini hiyo mwisho huwaga haifiki, wanahamisha magoli tu karne moja baada ya nyingine
 
Bible Mara nyingi imekuwa ikijifunua kwa mtu mmojammoja, hasa unapokuwa na mgogoro wa kiuelewa!mara chache sana assistance ya mtu wa pili, akiongezeka watatu ushetani nao huo, mkanganyiko unaongezeka na unazdi kupotea
 
Ok kwa maana hiyo haya yote yazingekinzana na maisha ya Yesu, moja kwa moja ungekubari kwamba ni Mungu?????.

Sasa sisi tulioambiwa kwamba atachukua mwili aje kukaa kwetu akiwa na mwili wa kibinaadamu(unaielewa point yetu sasa????),kwamba mwili wa kibinaadamu una sifa zisizobadirika.ili Mungu mwenyewe asikinzane na sifa zake kwamba, hachoki, haumwi njaa, hafi, haonekani.ilibidi auvue utukufu wake mbinguni na kuuvaa mwili wenye mapungufu hayo.

Swali ni je, kama alikufa siku tatu akiwa kaburini mamlaka na nguvu vilikuwa chini ya nani, maana Mungu hafi na akifa sio Mungu, (SWALI HILI MSINGI WAKE NI KWAMBA, UNAYEULIZA SWALI HILI TAYARI UMEKADIRIA UKOMO WA UWEZO WA MUNGU) kwamba mungu kuna mambo hawezi kufanya yako juu ya uwezo wake.lakini jibu ni rahisi, uliokufa ni mwili sio Utukufu wake, na kudhihirisha kwamba utukufu wake uliishi bado mauti hayakuwa na mamlaka na mwili ule ukachukuliwa tena.

Mpaka hapo?????

Hayo yote umeyatoa kichwani mwako bila kutoa ushahidi wa maandiko. Mimi nitaendelea kukujibu sijamaliza.Niko katika kutafuta mkate wakati huu
 
Huelewi maandiko nakusaidiaje sasa unafikiri??????
sio kwamba haelewi maandiko,bali unamtaka ayaelewe unavyoelewa wewe na asihojihoji zaidi,
pia umetoa maelezo yako na unahisi maelezo yako ndio final, sasa anakwambia lete ushahidi, hakubaliani na maelezo yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom