Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Dukeson mimi naomba niiandike hiyo paragraph yote hapa ili wavivu wa kufunua Biblia waisome,this is among my favourite bible verses maana huwa nikimaliza kuisoma nakauka mbavu!

"Wayahudi wakajibu,wakamwambia,je!sisi hatusemi vema ya kwamba wewe u Msamaria,tena una pepo?Yesu akajibu,Mimi sina pepo,lakini mimi namheshimu Baba yangu,na ninyi mwanivunjia heshima yangu.Wala mimi siutafuti utukufu wangu;yuko mwenye kutafuta na kuhukumu.Amin,amin nawaambia,mtu akilishika neno langu,hataona mauti milele.Basi Wayahudi wakamwambia,Sasa tumeng'amua ya kuwa una pepo.Ibrahim amekufa,na manabii wamekufa;nawe wasema,Mtu akilishika neno langu hataonja mauti milele.Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahim,ambaye amekufa?Nao manabii wamekufa.Wajifanya u nani?Yesu akajibu,nikijitukuza mwenyewe,utukufu wangu si kitu;anitukuzaye ni Baba yangu ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.Wala ninyi hamkumjua;lakini mimi namjua.Nikisema ya kwamba simjui,nitakuwa mwongo kama ninyi;lakini namjua,na neno lake nalishika.Ibrahim, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu;naye akaiona,akafurahi.Basi Wayahudi wakamwambia,Wewe hujapata bado miaka hamsini,nawe umemwona Ibrahim?Yesu akawaambia,Amin,amin,nawaambia,Yeye Ibrahim asijakuwako,MIMI NIKO.Basi wakaokota mawe ili wamtupie;lakini Yesu akajificha,akatoka hekaluni."
Hiyo ni Yohana 8:48-59.

Nilipoona Yesu,akiwa kijana mdogo, anawaambia jamaa kuwa alikuwepo kabla ya baba yao IIbrahim aliyeishi na kufa miaka takriban 2000 kabla ya hapo,nilijua kinachofuatia ni wayahudi kuokota vitofari tu:D:D:D

Sasa hebu angalieni context ya hiyo paragraph hapo,ni ujumbe gani mnapata about Jesus?
kwanini aliogopa na kujificha?
Wakati wafuasi wake anawambia msiogope wauao mwili bali nafsi,kwanini alijificha kwa woga
 
"Na ingawa ni Mwana,alijifunza kutii kwa mateso hayo yaliyompata" Waebrania 5:8

"Ambaye yeye Mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu, tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba" Wafilipi 2:6-8.

Ni Yesu huyo huyo alimwambia Yuda kuwa atamsaliti na Petro kuwa atamkana,akiwa anajua kabla kabisa kuwa atakamatwa,kuteswa na kuuawa,lakini ilipofika wakati huo hakujificha wala kuzuia hilo bwana Elungata.

Ukitaka kuyaelewa mambo ya Yesu, jitahidi ujuwe sababu ya yeye kuacha utukufu wake mbinguni na kuja duniani. Hutotatizwa tena na kile Yesu alichokifanya duniani.
 
Dukeson mimi naomba niiandike hiyo paragraph yote hapa ili wavivu wa kufunua Biblia waisome,this is among my favourite bible verses maana huwa nikimaliza kuisoma nakauka mbavu!

"Wayahudi wakajibu,wakamwambia,je!sisi hatusemi vema ya kwamba wewe u Msamaria,tena una pepo?Yesu akajibu,Mimi sina pepo,lakini mimi namheshimu Baba yangu,na ninyi mwanivunjia heshima yangu.Wala mimi siutafuti utukufu wangu;yuko mwenye kutafuta na kuhukumu.Amin,amin nawaambia,mtu akilishika neno langu,hataona mauti milele.Basi Wayahudi wakamwambia,Sasa tumeng'amua ya kuwa una pepo.Ibrahim amekufa,na manabii wamekufa;nawe wasema,Mtu akilishika neno langu hataonja mauti milele.Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahim,ambaye amekufa?Nao manabii wamekufa.Wajifanya u nani?Yesu akajibu,nikijitukuza mwenyewe,utukufu wangu si kitu;anitukuzaye ni Baba yangu ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.Wala ninyi hamkumjua;lakini mimi namjua.Nikisema ya kwamba simjui,nitakuwa mwongo kama ninyi;lakini namjua,na neno lake nalishika.Ibrahim, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu;naye akaiona,akafurahi.Basi Wayahudi wakamwambia,Wewe hujapata bado miaka hamsini,nawe umemwona Ibrahim?Yesu akawaambia,Amin,amin,nawaambia,Yeye Ibrahim asijakuwako,MIMI NIKO.Basi wakaokota mawe ili wamtupie;lakini Yesu akajificha,akatoka hekaluni."
Hiyo ni Yohana 8:48-59.

Nilipoona Yesu,akiwa kijana mdogo, anawaambia jamaa kuwa alikuwepo kabla ya baba yao IIbrahim aliyeishi na kufa miaka takriban 2000 kabla ya hapo,nilijua kinachofuatia ni wayahudi kuokota vitofari tu:D:D:D

Sasa hebu angalieni context ya hiyo paragraph hapo,ni ujumbe gani mnapata about Jesus?
1475050132237.jpg
1475050137979.jpg
TAYARI MKUU
 
so ukimuona ridhiwani umemuona kikwete je ridhiwani ni kikwete.....hahaaaaa
Hapo ndipo mnapochanganya mambo,mnapoupa Uungu mtazamo wa kibinadamu badala ya kusoma vitabu vyenye elimu kuhusu Uungu mjifunze Uungu ukoje, na hata kuna wengine wanavisoma na bado wanabishana navyo, kwa kuwa wakisomacho hakiingii katika mizani ya ubinadamu, hivyo wanajinyima fursa ya kutumia uwezo wa ufahamu wa kibinadamu, ambao ukitumika kwa mapana yake unaweza kuujua Uungu.
Wewe una ufahamu mzuri kuhusu ubinadamu, ndio maana umetambua kuwa Ridhiwani sio Jakaya.

Lakini ukumbuke,pia,Yesu sio Ridhiwani na Mungu sio Jakaya. Naandika mara kwa mara humu msiupe Uungu sura ya kibinadamu, maana mkizifikia features ambazo Mungu hafanani na mwanadamu mtachanganya mambo.
 
View attachment 406746

Nasema YESU SI MUNGU, na Paulo ana kesi ya kujibu kwa kudanganya ulimwengu, na kwa kuharibu mafundisho ya Yesu na kubwa zaidi kwa kuwatesa na kuwaua wanafunzi wa Yesu na wafuasi wake.

Katika kuendeleza urongo wa Paulo, watu wameambukizwa urongo, sasa wanatusambazia picha na sanamu za wacheza sinema na kisha wanataka tuziheshimu kama Yesu, kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
TUJADILI!
Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
Call/whatspp 0622845394 Morogoro.

Jesus Himself clearly taught that he was God the Son. Though some people(Dotto and others) nowadays doubt it, during his time on earth people did not. The Jews want to arrest Jesus for “you, being a man, make yourself God” (John 10:33). Jesus did not contradict them. In the end, it is exactly this claim of Jesus that leads to his crucifixion. The high priest asks him: “tell us if you are the Christ, the Son of God” (Matthew 26:63). Jesus confirms it. The high priest calls it blasphemy, because Jesus makes himself the equal of God.

It is not strange that the Jews and the high priest understood that Jesus claimed to be God. He had given reason enough for that in his teaching.

In John 8:58 Jesus said: “Truly, truly, I say to you, before Abraham was, I am.” He not just says that he existed before Abraham existed 2000 years ago. He also calls himself ‘I am’, which is the name of God.

In John 10:30 Jesus said: “I and the Father are one.”

Jesus used several other saying with ‘I am’ in which he claimed to be equal to God. An example of this is “I am the light of the world. Whoever follows me will not walk in darkness, but will have the light of life” (John 8:12). This can never be said about just a man. Only God is the light of the world. Only God can give the light of life.
 
so ukimuona ridhiwani umemuona kikwete je ridhiwani ni kikwete.....hahaaaaa
Yaan nashindw hata kuelew akili zenu NGOJA KIDOGO NIKUFUNDISHE KUWA YESU NI MUNGU HATA KWENYE QURAN YAKO(nitakuw nalinganisha maneno ya YESU na QURAN/sifa alizonazo M.Mng pekee zilizomo katk Quran je YESU anazo?twende kazi,naanza,View attachment 408230View attachment 408231View attachment 408234View attachment 408235
View attachment 408247View attachment 408248View attachment 408249View attachment 408250View attachment 408251
View attachment 408257View attachment 408258View attachment 408259View attachment 408260
View attachment 408264View attachment 408265View attachment 408266
1475053729158.jpg
1475053742606.jpg
1475053748217.jpg
1475053752418.jpg
1475053760668.jpg

so ukimuona ridhiwani umemuona kikwete je ridhiwani ni kikwete.....hahaaaaa
 
Mungu ni yesu lakn yesu siyo mungu bali yesu ni mungu nafsi ya pili aliyejifanya mwanadamu lakn akiwa na element za umungu ili wanadamu wapate kutambua uwepo wa mungu aliye mkuu
 
Pia tambua hakuna mwenye uhakika asilimia mia moja kuhusu uwepo wa huyo MUNGU.

Kama utasema yupo kiimani. Elewa kuwa imani inaweza kuwa kweli au uongo mtupu.

Hivyo inakuwa ngumu sana kutoa sifa za kitu ambacho huna uhakika kuhusu uwepo wake.

Kuhusu haya majina Yesu na Mungu huwa nachanganyikiwa sana kuhusu sifa zao maana mara yesu ni mungu..mara mungu ni yesu.

Nimewaza tu tena kwa sauti kubwa.

Umeandika

hakuna mwenye uhakika asilimia mia moja kuhusu uwepo wa huyo MUNGU.

Suali: Nani alikuambia , au unao ushahidi gani wa kuthibitisha haya maneno yako ???
 
Yesu si mungu na akuwahi kuwa mungu....mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa na afanani na kitu chochote.....
yesu ni mtume/nabii kama adam,ibrahim,musa,nuhu...muhamad ect.
 
Yaan nashindw hata kuelew akili zenu NGOJA KIDOGO NIKUFUNDISHE KUWA YESU NI MUNGU HATA KWENYE QURAN YAKO(nitakuw nalinganisha maneno ya YESU na QURAN/sifa alizonazo M.Mng pekee zilizomo katk Quran je YESU anazo?twende kazi,naanza

Wacha kudanganya , WEWE KAMA SI MCHUNGAJI MWENYE NJAA KALI, MAXI SHIMBA UTAKUWA NI MWANAFUNZI WAKE

sura alhadeed haisemi hivyo ,

unajaribu KUCHUKUWA AYA ZA QURAN NA KUZICHANGANYA NA ZA BIBLIA , UNAMPAKAZIA YESU UUNGU

KATAFUTE MAVI YA KUKU UBANJE

HII HAPA NI SURA AL H`ADIID

57 - AL -H'ADIID

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

1.Kinamsabihi kumtakasa Mwenyezi Mungu kila kiliomo ndani ya mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

2.
Yeye ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Anahuisha na anafisha. Na Yeye ni Mwenye uweza wa kila kitu.

3.
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.

4.
Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. Anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo. Naye yu pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayo yatenda.

5.
Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake. Na mambo yote yanarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu.

6.
Anaingiza usiku katika mchana, na anaingiza mchana katika usiku. Na Yeye ni Mwenye kuyajua yaliomo vifuani.

7.
Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake; na toeni katika alivyo kufanyeni nyinyi kuwa ni waangalizi wake. Basi walio amini miongoni mwenu, na wakatoa, wana malipo makubwa.

8.
Na mna nini hata hamumuamini Mwenyezi Mungu na hali Mtume anakuiteni mumuamini Mola wenu Mlezi? Naye amekwisha chukua ahadi yenu, ikiwa nyinyi ni Waumini.

9.
Yeye ndiye anaye mteremshia mja wake Aya zinazo bainisha wazi ili akutoeni gizani muingie kwenye nuru. Na hakika Mwenyezi Mungu kwenu ni Mpole, Mwenye kurehemu.

10.
Na mna nini hata hamtoi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na hali urithi wa mbingu na ardhi ni wa Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa miongoni mwenu wenye kutoa kabla ya Ushindi na wakapigana vita. Hao wana daraja kubwa zaidi kuliko wale ambao walio toa baadae na wakapigana. Na wote hao Mwenyezi Mungu amewaahidia wema. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda.

11.
Ni nani atakaye mkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, ili amrudishie mardufu, na apate malipo ya ukarimu.

12.
Siku utakapo waona Waumini wanaume na Waumini wanawake, nuru yao iko mbele yao, na kuliani kwao: Furaha yenu leo - Bustani zipitazo mito kati yake mtakaa humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa.

13.
Siku wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake watapo waambia walio amini: Tungojeni ili tupate mwangaza katika nuru yenu. Waambiwe: Rejeeni nyuma yenu mkaitafute nuru! Utiwe baina yao ukuta wenye mlango - ndani yake mna rehema, na nje upande wake wa mbele kuna adhabu.

14.
Watawaita wawaambie: Kwani vile hatukuwa pamoja nanyi? Watawaambia: Ndiyo, lakini mlijifitini wenyewe, na mkasitasita, na mkatia shaka, na matamanio ya nafsi zenu yakakudanganyeni. mpaka ilipo kuja amri ya Mwenyezi Mungu, na mdanganyifu akakudanganyeni msimfuate Mwenyezi Mungu.

15.
Basi leo haitapokelewa kwenu fidia, wala kwa wale walio kufuru. Makaazi yenu ni Motoni, ndio bora kwenu; na ni marejeo maovu yalioje!

16.
Je! Wakati haujafika bado kwa walio amini zikanyenyekea nyoyo zao kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu na haki iliyo teremka? Wala wasiwe kama walio pewa Kitabu kabla yao, muda wao ukawa mrefu, kwa hivyo nyoyo zao zikawa ngumu, na wengi wao wakawa wapotovu.

17.
Jueni kwamba Mwenyezi Mungu huifufua ardhi baada ya kufa kwake. Tumekubainishieni Ishara ili mpate kuzingatia.

18.
Kwa hakika wanaume wanao toa sadaka, na wanawake wanao toa sadaka, na wakamkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, watazidishiwa mardufu na watapata malipo ya ukarimu.

19.
Na walio muamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake, hao ndio Masidiqi na Mashahidi mbele ya Mola wao Mlezi. Wao watapata malipo yao na nuru yao. Na walio kufuru na wakakadhibisha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni.

20.
Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. Mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua. Na akhera kuna adhabu kali na maghfira kutoka kwa Mwenyezi Mungu na radhi. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu.

21.
Kimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni kama upana wa mbingu na ardhi, iliyo wekewa walio muamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kuu.

22.
Hautokei msiba katika ardhi wala katika nafsi zenu ila umekwisha andikwa katika Kitabu kabla hatujauumba. Hakika hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi.

23.
Ili msihuzunike kwa kilicho kupoteeni, wala msijitape kwa alicho kupeni. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila anaye jivuna akajifakhirisha.

24.
Ambao wanafanya ubakhili, na wanaamrisha watu wafanye ubakhili. Na anaye geuka, basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujitosha, Msifiwa.

25.
Kwa hakika tuliwatuma Mitume wetu kwa dalili waziwazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu, na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye mnusuru Yeye na Mitume wake kwa ghaibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mwenye kushinda.

26.
Na bila ya shaka tulimtuma Nuhu na Ibrahim, na tukaweka katika dhuriya zao Unabii na Kitabu. Basi wapo miongoni mwao walio ongoka, na wengi katika wao ni wapotovu.

27.
Tena tukafuatisha nyuma yao Mitume wengine, na tukamfuatisha Isa bin Mariamu, na tukampa Injili. Na tukajaalia katika nyoyo za walio mfuata upole na rehema. Na umonaki (utawa wa mapadri) wameuzua wao. Sisi hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuufuata inavyo takiwa kuufuata. Basi wale walio amini katika wao tuliwapa ujira wao. Na wengi wao ni wapotovu.

28.
Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na muaminini Mtume wake, atakupeni sehemu mbili katika rehema yake, na atakujaalieni muwe na nuru ya kwenda nayo. Na atakusameheni. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

29.
Ili watu wa Kitabu wajue kwamba wao hawana uweza wowote juu ya fadhila za Mwenyezi Mungu. Na fadhila zote zimo mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kuu.
 
Wacha kudanganya , WEWE KAMA SI MCHUNGAJI MWENYE NJAA KALI, MAXI SHIMBA UTAKUWA NI MWANAFUNZI WAKE

sura alhadeed haisemi hivyo ,

unajaribu KUCHUKUWA AYA ZA QURAN NA KUZICHANGANYA NA ZA BIBLIA , UNAMPAKAZIA YESU UUNGU

KATAFUTE MAVI YA KUKU UBANJE

HII HAPA NI SURA AL H`ADIID

57 - AL -H'ADIID

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

1.Kinamsabihi kumtakasa Mwenyezi Mungu kila kiliomo ndani ya mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

2.
Yeye ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Anahuisha na anafisha. Na Yeye ni Mwenye uweza wa kila kitu.

3.
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.

4.
Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. Anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo. Naye yu pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayo yatenda.

5.
Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake. Na mambo yote yanarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu.

6.
Anaingiza usiku katika mchana, na anaingiza mchana katika usiku. Na Yeye ni Mwenye kuyajua yaliomo vifuani.

7.
Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake; na toeni katika alivyo kufanyeni nyinyi kuwa ni waangalizi wake. Basi walio amini miongoni mwenu, na wakatoa, wana malipo makubwa.

8.
Na mna nini hata hamumuamini Mwenyezi Mungu na hali Mtume anakuiteni mumuamini Mola wenu Mlezi? Naye amekwisha chukua ahadi yenu, ikiwa nyinyi ni Waumini.

9.
Yeye ndiye anaye mteremshia mja wake Aya zinazo bainisha wazi ili akutoeni gizani muingie kwenye nuru. Na hakika Mwenyezi Mungu kwenu ni Mpole, Mwenye kurehemu.

10.
Na mna nini hata hamtoi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na hali urithi wa mbingu na ardhi ni wa Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa miongoni mwenu wenye kutoa kabla ya Ushindi na wakapigana vita. Hao wana daraja kubwa zaidi kuliko wale ambao walio toa baadae na wakapigana. Na wote hao Mwenyezi Mungu amewaahidia wema. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda.

11.
Ni nani atakaye mkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, ili amrudishie mardufu, na apate malipo ya ukarimu.

12.
Siku utakapo waona Waumini wanaume na Waumini wanawake, nuru yao iko mbele yao, na kuliani kwao: Furaha yenu leo - Bustani zipitazo mito kati yake mtakaa humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa.

13.
Siku wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake watapo waambia walio amini: Tungojeni ili tupate mwangaza katika nuru yenu. Waambiwe: Rejeeni nyuma yenu mkaitafute nuru! Utiwe baina yao ukuta wenye mlango - ndani yake mna rehema, na nje upande wake wa mbele kuna adhabu.

14.
Watawaita wawaambie: Kwani vile hatukuwa pamoja nanyi? Watawaambia: Ndiyo, lakini mlijifitini wenyewe, na mkasitasita, na mkatia shaka, na matamanio ya nafsi zenu yakakudanganyeni. mpaka ilipo kuja amri ya Mwenyezi Mungu, na mdanganyifu akakudanganyeni msimfuate Mwenyezi Mungu.

15.
Basi leo haitapokelewa kwenu fidia, wala kwa wale walio kufuru. Makaazi yenu ni Motoni, ndio bora kwenu; na ni marejeo maovu yalioje!

16.
Je! Wakati haujafika bado kwa walio amini zikanyenyekea nyoyo zao kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu na haki iliyo teremka? Wala wasiwe kama walio pewa Kitabu kabla yao, muda wao ukawa mrefu, kwa hivyo nyoyo zao zikawa ngumu, na wengi wao wakawa wapotovu.

17.
Jueni kwamba Mwenyezi Mungu huifufua ardhi baada ya kufa kwake. Tumekubainishieni Ishara ili mpate kuzingatia.

18.
Kwa hakika wanaume wanao toa sadaka, na wanawake wanao toa sadaka, na wakamkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, watazidishiwa mardufu na watapata malipo ya ukarimu.

19.
Na walio muamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake, hao ndio Masidiqi na Mashahidi mbele ya Mola wao Mlezi. Wao watapata malipo yao na nuru yao. Na walio kufuru na wakakadhibisha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni.

20.
Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. Mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua. Na akhera kuna adhabu kali na magh**** kutoka kwa Mwenyezi Mungu na radhi. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu.

21.
Kimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni kama upana wa mbingu na ardhi, iliyo wekewa walio muamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kuu.

22.
Hautokei msiba katika ardhi wala katika nafsi zenu ila umekwisha andikwa katika Kitabu kabla hatujauumba. Hakika hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi.

23.
Ili msihuzunike kwa kilicho kupoteeni, wala msijitape kwa alicho kupeni. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila anaye jivuna akajifakhirisha.

24.
Ambao wanafanya ubakhili, na wanaamrisha watu wafanye ubakhili. Na anaye geuka, basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujitosha, Msifiwa.

25.
Kwa hakika tuliwatuma Mitume wetu kwa dalili waziwazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu, na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye mnusuru Yeye na Mitume wake kwa ghaibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mwenye kushinda.

26.
Na bila ya shaka tulimtuma Nuhu na Ibrahim, na tukaweka katika dhuriya zao Unabii na Kitabu. Basi wapo miongoni mwao walio ongoka, na wengi katika wao ni wapotovu.

27.
Tena tukafuatisha nyuma yao Mitume wengine, na tukamfuatisha Isa bin Mariamu, na tukampa Injili. Na tukajaalia katika nyoyo za walio mfuata upole na rehema. Na umonaki (utawa wa mapadri) wameuzua wao. Sisi hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuufuata inavyo takiwa kuufuata. Basi wale walio amini katika wao tuliwapa ujira wao. Na wengi wao ni wapotovu.

28.
Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na muaminini Mtume wake, atakupeni sehemu mbili katika rehema yake, na atakujaalieni muwe na nuru ya kwenda nayo. Na atakusameheni. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

29.
Ili watu wa Kitabu wajue kwamba wao hawana uweza wowote juu ya fadhila za Mwenyezi Mungu. Na fadhila zote zimo mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kuu.
well done mkuu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom