kachelo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 231
- 240
Medicine is not curative only but preventive too. Hivyo mtu kumuhitaji daktari si lazima awe mgonjwa anaweza kwenda kwa ajili ya kinga.
Naona Kama umelitafasili kimwili zaidi..! Lkn haina Shida la mhimu hapa jukwaan ni kujengana kimtizamo zaidi..so nimeheshim maoni yako.