Yericko Nyerere live Mlimani TV, aizungumzia JF na Sheria ya Mitandao

Yericko nyerere umejishushia hadhi, umeshindwa hata kujibu maswali ya msingi ya wadau. Njoo eleza ilikuwa hivi na hivi. Sio unakimbia kimbia kama nyau
 
Hata angekuwa CNN huwa sina kawaida ya kuangalia watu wanaishi duniani kiujanja ujanja,kamtu kalianzisha shindano la kiswahili kutoa zawadi kakalaza mshale miaka 2 imepita.
 
So, if I understand you correctly Sir, you are old school. You were highly educated, way back, in electrical engineering or something similar.

Were you able to utilize your skills to the fullest? Did you sell a product you invented?

Steve Jobs, Bill Gates and Steve Wozniak were just as genius.

Hawa hawajazaliwa na makampuni Mzee. Wamezaliwa Marekani. A land of immense opportunities and hunger for success.

Great Ideas are nourished to maturity by availability of capital, stable political/economical environment, educated workforce and hard work.

Age plays ZERO part in it.

You can be 70 but if you have a money-making idea / invention, you can sell it in a right country and be rich beyond your imagination.

Senior citizens in America do not stop from learning. Go to any public library, you will see them learning how to navigate the world of Internet from a patient librarian. They need to communicate with their grandchildren who prefers to SKYPE and LINE now.

And lastly, here is a definition of your specialization:

Digital logic is the representation of signals and sequences of a digital circuit through numbers. It is the basis for digital computing and provides a fundamental understanding on how circuits and hardware communicate within a computer.

(Simple minds and Google work perfectly)

Hahahah inferiority at work
 
MAGALEMWA, mimi najizuia kujibizana na hawa limbukeni kwa sababu moja tu...it is the preoccupation of simple minds. Nikisema nili specialize in digital logic late in 1960s sidhani kama hata watanielewa. Wakati huo mitambo mingi haitumii transistor (semi conductor) bali valves (eletronic tubes) hivyo kacomputer kamoja kanajaza chumba na kwa sababu ya joto lake lazima kuwa na air-conditioners zaidi ya moja. Operational amplifiers za kwanza kuwa developed zilitumia tu ma transistor yaliyounganishwa kienyeji tu na si zaidi ya kumi...hata mimi, kama hobby, niliweza kutengeneza my first digital switch kwa kuunganisha transistor kadhaa. Ni intregrated circuits (ambazo baadaye zimekuja kuitwa chips) zilizotumia matransistor kwa maelfu na ndizo zilikuja kuwezesha kuhama kutoka analogue to digital.

Kwa upande wa umri, nasikitika kuwaambia kwamba ukishafika miaka zaidi ya 30, it is not easy to cope with information technology advances, akili na concentration inakuwa tayari limited kwa kiasi fulani. Vijana walioweza kuanzisha makampuni makubwa ya macomputer ni kama vile walizaliwa nazo. Hivi sasa haishangazi hata kidogo kijana wa miaka chini ya kumi tayari anajua every darn thing about a computer kuliko zee la miaka 40. Mtu akiniomba nitoe ushahidi wa nisemayo, I dont respond kwa sababu mtandao kwa sasa una kila jibu. All one needs to do is to search, the information is all there. It is the height of idiocy unapoomba ushahidi wa advance in technology while you are seated in front of a computer.

BTW Mag3.
Next time you claim to have made something at your spare time, I won't ask proof of it. I'll just google and authenticate what the nameless scientist invented.
I'll take your word for it.

I googled and found out that Tanzania postal services had no ISP available in 1983. But I only did so after our learned mathematician failed to authenticate his claims.

It would be a dream come true for any student in the world to have you as their Dissertation Advisor.
 
Last edited by a moderator:

So what? You are barking up the wrong tree son. Courageous, young and inquisitive people like Yericko Nyerere should not be ridiculed and deserve better but then, oops, I was forgeting, this is Tanzania, the land of opportunists, hypocrites and sycophants...welcome aboard Tokyo40! I am out.
 
So writing programs = the Internet browsing?

There was no access to the Internet as we know it until after 1990. And that was in USA.

Whatever we had before was simple commands and exchange of data between scientists and military researchers in developed nations.

Kindly provide me the kind of Internet service provider they used at the postal service in 1983 in Tanzania to access the Internet as we know it today.

What kind of information were you able to access?

I used the first ISP in 1997, it was raha.com and it was slow as hell (dial -up).

Did you access a faster one pre-'97?

And you can't claim to "build" a computer and call it "your own"when it's called "Toshiba".

I'm curious to know what technology breakthrough I missed in 1983 in Tanzania.
You know you are arguing with a bunch of cheerleaders right?
They're politically connected and I doubt that they believe in what they are trying to make you believe.
This s#!+ is str8 up political,it's ridiculous!
 
I know that Mkuu Kobello.

I'm just reminding them that not all of us are easily manipulated or buy bullshit wholesale.

As you have read, not one of them came back with the evidence to back their ridiculous claims.

If they choose to cheer a con man (100% authenticated), then that's their democratic right.

"I'm patient with stupidity but not with those who are proud of it".
- Edith Sitwell
 
Last edited by a moderator:
So what? You are barking up the wrong tree son. Courageous, young and inquisitive people like Yericko Nyerere should not be ridiculed and deserve better but then, oops, I was forgeting, this is Tanzania, the land of opportunists, hypocrites and sycophants...welcome aboard Tokyo40! I am out.

A con man should be cheered and respected?

I expected a better judgement from such an old and educated man.
 
yericko, wewe ni muongo sana!!!!!!!!!!!! miaka ya 1992 ilikua ni era ya mainframe computers na dumb terminals na Urusi PC zilikuwa hamna, internet service ilikua very limited had mwaka 1995 wakati Windows 95 ilipokuja na ile browser yake kuipiku Netscape wewe nadhani wakati huo ulikua unanyoja!!! angalia maana ya maneno ya mwisho ya jamaa uliye mjibu yana maana gani kifupi amekutukana sana muulize huyo Mrusi wako atakwambia maana yake!.

wewe ni mwongo. toshiba laptop nyeupe zilizokuwa na windows 3.1 zilitoka lini?
 
Simple minds taabu sana. Hivi ni wangapi kati yenu wanawezawakajitambulisha kwa majina yao halisi humu, how many of you have the ballseven to try that? Well, Yericko Nyerere has and compared to most of you the guyis on another level na comment zenu humu zinasema more about you dudes thanhim. Kwa ufahamisho tu mtandao (internet) ulikuwepo hata kabla ya hapo...Iwonder if some of you even know what internet means apart from its usualliteral meaning. Luckily presently it doesn't require much to use the internetand any Tom Dick and Harry can do it, all one needs are tentacles, shove itfellas.

I assembled my first program in1972 in FOTRAN IV at UDSM Maths Dept. I built/assembled my 86 Toshiba computerin 1983 and I was able to use the Tanzania Postal lines to access internet.
If you lagged intechnology it does not mean every one else was lagging with you. Do not forgetthe global purpose of internet is access to information.
Bravo Yericko Nyerere

Mag(alemwa):
Heshima mkuu. Yericko ni Jasiri. Lakini pamoja na ujasiriwake kuna matatizo katika analysis zake.

Kuhusiana na utaalamu wake wa internet, ningependa kujua niinternet services gani alikuwa anazitumia mwaka 1992 kuchat na hao marafikizake wa kirusi.

Ni kweli internet imeanza zamani, lakini ilikuwa inatumikakwa katika matumizi ya ulinzi na research institutions. Mpaka pale serikali ya Marekani iliporuhusumatumizi ya internet technology kwa raia na biashara, ndipo watu wengi duniani waliwezakupata nafasi ya kuitumia. Hivyo watuwengi hapa tumeona ukuaji wa internet katika matumizi ya kijamii.

Hili kumaliza ubishi, kama Yericko ni mtaalamu wa internet,atutajie internet services alizotumia miaka ya 1992. Na alitumia platiformgani?
 
Ilikuwa available kwa wateule fulani (kwenye academic cycles hususan Maths Depts) na kwa ajili ya study za maendeleo yake. Mimi nilibahatika 1966 kuingia kwenye majaribio ya kupanua wigo wa hisabati kwa ajili ya kwenda sambamba na maendeleo ya sayansi huko urusi hasa kutokana na ubingwa wao wa hisabati. Pia warusi walishatawala anga wakati ule kwa mafanikio na ilikuwa tishio kwa nchi za magharibi. magharibi waligundua kuwa kwenye nyanja za hisabati walikuwa nyuma sana. Ndipo silabasi zao zilisambazwa dunia nzima kwa majiribo ili wapate mrejesho wa silabasi shindani.

Kulikuwa SMP ya marekani Entebbe Maths East Africa na majaribio mengine kama matano hivi. Kwa bahati mbaya kufikia 1974 yalikufa yenyewe na somo la hisabati pamoja na teknologia ya komputa ikachukua mkondo wa kaburi kwa sisi kugeuzwa walaji wa teknologia na kuondoka kwenye ushiriki wa teknologia. KIDUMU CHAMA CHA kupindua
 
Sitaki niongeze neno katika maelezo yako mkuu, kakani umegusa jambo mhimu sana na kunikumbusha miaka 20 nyuma...

Ila mwishoni umeharibu sana mtani.
 
Hiyo technology ya Marekani inajulikana na haipingwi hapa.

Watafiti, Wanasayansi na wanajeshi walikuwa wanatumia hiyo technology.

Kinachopingwa ni kuwepo kwa ISP kwa matumizi ya wengi kabla ya 1990 Tanzania.

Tunazungumzia public access za mitandao SIYO special access iliyotumiwa vyuo vikuu mbalimbali na jeshi.

In other words, mwaka 1974 au 1983, Mtanzania yoyote anaweza kuingia katika mtandao na kutuma email au kutumia hiyo technolojia kwa mawasiliano na dunia?

Hapo ndipo tunapobisha. Hiyo teknolojia imekuja miaka ya kwanza ya tisini SIYO kabla.
 
Sitaki niongeze neno katika maelezo yako mkuu, kakani umegusa jambo mhimu sana na kunikumbusha miaka 20 nyuma...

Ila mwishoni umeharibu sana mtani.

Mkuu chama cha mapinduzi kazi yake ni kupindua. UKWELI KUWA UONGO NA UONGO KUWA UKWELI HADI SAYANZI NA TEKNOLOGIA KUWA TUNGULI
 
Back
Top Bottom