Yawezekana bungeni "Waziri material" wameisha. Kiukweli Shujaa alitutenda 2020!

Inawezekana majukumu ya mawaziri na makatibu wakuu wao hayako crystal clear. Kazi ya waziri ambaye ni mwanasiasa haipaswi kuwa 'ngumu' kiasi cha kubadili watu kila siku.

Mamlaka itathimini watu wanaoteuliwa kuwa makatibu wakuu wa wizara pamoja na majukumu yao. Waziri ni mtu wa kusimamia 'high level stuff' a.k.a policies, how hard can that be? Labda kama tunatunga sera mbovu ambazo hazitekelezeki.
 
Sasa mnapopinga rasimu ya Warioba ambayo pia ni maoni ya wananchi kwenye katiba mpya yenye kipengele cha waziri asitokane na ubunge mna maanisha kitu gani!? Na leo mnasema Nini!? Mnaona namna msivyoekeweka!?
Mkuu Isalu , mtu wa Nov 3, 2022, anaweza asijue misimamo ya members humu ile 2014, kuhusu katiba ya Warioba
Karibu pande hizi
P
 
Hawa hata hawaelewei wanataka nini.
Sasa mnapopinga rasimu ya Warioba ambayo pia ni maoni ya wananchi kwenye katiba mpya yenye kipengele cha waziri asitokane na ubunge mna maanisha kitu gani!? Na leo mnasema Nini!? Mnaona namna msivyoekeweka!?
 
Unaweza kukuta Rais anatamani kupata Mawaziri wapya lakini atawatoa wapi?

Kiukweli kwenye Katiba Mpya Mawaziri wasiwe wabunge kama ilivyo Kenya

Mlale unono!
Nyie si ndiyo mlifurahia uharamia aliofanya Magufuli 2020 mkiamini kuwa wanakomolewa Chadema? Tulieni dawa iwangie vizuri akili ziwakae sawa mjue kuwa Katiba Mpya siyo ya Chadema bali ni kwa Taifa zima.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yaani Watu Wale wale ambao Miaka yote wameshindwa kusaidia nchi hii tunategemea watuletee mabadiliko.Tulizoea mtiti wa Magufuli na mambo yalienda japo lwa wasiwasi lakini hii nchi bila kuwapeleka mzobe mzobe hawa ukawachekea hawatafanya kitu...
MAMA ULISEMA Mawaziri wakusaidie hao ndio wanakuangusha sasa.
 
Unaweza kukuta Rais anatamani kupata Mawaziri wapya lakini atawatoa wapi?

Kiukweli kwenye Katiba Mpya Mawaziri wasiwe wabunge kama ilivyo Kenya

Mlale unono!
Hakika. Mbunge akiwa wazir analipwa mshahara wa ubunge na uwazir kwa mara moja. Kuna watu weng wanauwezo wako nje ya system ni vile hawajapata nafas. Wazir awe wazir mbunge awe mbunge.Nafas za mawazir wapew wengne ili keki ya taifa igawanwe sawa haiwezekan mtu anatumikia nafas za watu wawili ndo chanzo cha kupungua uwajibikaji
 
Back
Top Bottom