QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
Sio yeye tu hata Mwalimu Nyerere alikuja kupendwa bada ya kung'atuka........
Tayari ipo migogoro ya kutosha tu ingawa sio ya aina ambayo mnajaribu kuiwezesha....
Sounds like dua la kuku.....
Nijuavyo katika miaka ya karibuni kumwekuwa na muongezeko mkubwa wa wasomi kurudi nyumbani kuliko nyakati zilizopita
Kama ameweza kuchangamana na ouvu wa Kenya, Sudan, Uganda na kwengineko sidhani kama atatuacha mradi tu mmeshindwa kufanikisha matamanio yenu. Actually ninadhani Mungu has soft spot na Tanzania yetu.........
CCM inaweza kuwa na madhambi mengi tu lakini kujaribu kumfananisha Kikwete ama CCM na hao hapo juu ni kukejeli baraka/huruma za Mungu huyohuyo unayemtumia hapa kuhalalisha propaganda ama hisia zako.
I thought ninyi ndio mnaopinga, kumlaani na kumtenga Kilaini kwa kutamka neno lenye mantiki hii ambalo lilithibitishwa na asilimia 80 ama 67 za kura 2005.
In general, I have never come across a defeated plea such as this...
Usikate tamaa kirahisi hivyo kaka bado uwezekano wa asilimia hata thelathini upo.....Keep on the fight
kwanini hawaji sasa? maana madoktaz wanaofanya kazi Botswana nore that 30% ni watz. Why?