Yasikie tu kwa jirani, siku nilipofumaniwa na kukurupuka na "kitasa" mkononi bila kujijua

Hiyo ilikuwa around 2000's,mke wa jamaa mmoja alikuwa kibopa wa Mwanza (jina kapuni) anakaa Isamilo karibu na Isamilo International School.Mkewe alinipenda sana,wkati huo nikiwa ndio naanza tu kazi. Pale Isamilo nilikuwa naenda kwa jamaa yangu mmoja alikuwa anakaa kota za BOT mkabala na ofisi za Jiji Mwanza

Sasa sehemu ya kunywea ikawa pale kwenye kona ambapo ni jirani na ilipo ofisi ya Halotel kule Mwanza.Huyu mother alikuwa ananikuta napiga bia pale.Kila weekend au jioni akija ananikuta pale.Mi sikua na time nae kabisa,kumbe yeye akija kunywa pale anakua anasikiliza mi navyopiga michapo na masela.Namwaga madini ya hapa na pale...Kumbe maza anapagawa na swaga zangu

Akapenda ile changamsha genge yangu,akawa anamuuliza muuza grocery,huyu jamaa wa wapi?akaambiwa anakuja tu hapa kunywa.Siku nyingine akanipa offer ya bia,hapo tuakaanza kuzoeana.Siku akaomba nimsindikize kurudi home eti kuna giza anaogopa,hapo kapiga bia,tunafika gizani,anasema kabanwa mkoja nimsubiirie akojoe,akasaula akamwaga kojo.Mi namwangalia tu,kimiyomoyo nasema huyu hanijui mi kama fisi maji,we mwache tu,nikampa kampani akachukua namba ya simu.Hapo ndio mchezo ukaanzia.

Msg zake nyingi analalamika jamaa hampigi pumb*** vizuri,mara hivi mara vile...Nikajua huyu anataka dyudyu!!Mtoto wa kitaa sikulaza damu,siku nikampiga mbuzi kagoma kwenye pori la AIC Makongoro,Mother akapagawa...nikawa nampigia porini tu,pale Makongoro kwa nyuma kulikuwa na pori.Akawa ananogewa balaa na kugegedwa kiporipori.

Siku jamaa akaaga anasepa kikazi,akalazimisha nikamgongee kwake.Zile nyumba za Isamilo zina garden kubwa sana...Nikawa nampiga mle mle....Siku nimekolea napiga mara geti linagongwa...kusikia hivi sauti,mumewe ndio anagonga,sasa maza hawezi kurudi ndani maana ataonekana anatokea garden,hawezi kufungua maana ataonekana huko garden usiku anafanya nini?

Mi hapo suruali ipo magotini,yeye ana kanga moja na kibrauzi bila kufuri,natetemeka vibaya sana.Jamaa ndio anapigapiga geti kwa nguvu,anapiga simu mother kaweka silent inalia tu.Hapo mi natetemeka sana.Kusema kurukia ukuta nyumba ya pili ni nyumba ya kiongozi mmoja wa serikali,ukirukia upande mwingine ni nyumba ya kigogo wa wakati huo na kuna polisi wanalinda kotekote.Yaani makende yote yaliingia ndani.

Mara jamaa akaamua kuruka geti...tukasikia parakataaaa...tiiii!!Yupo ndani kasharuka geti huku jamaa anasonya sana,sbb ya unene,shati likanasa kwenye hook za fensi. Jamaa ananing'inia tu na kitambi chake...Mimi hapo nimelalia tumbo kimyaaa usawa wa majani hata sihemi...Tako nje na suruali ipo magotini hata sijaipandisha kuivaa!!

Jamaa kahangaika hapo mpaka shati likachanika akadondoka chini puuu!!Aliponyuka huyoo mpaka ndani anafura balaa,kufika ndani hakuna mtu...Yule Mama ile jamaa anaingia ndani ya mbio "servant kota" akajidai alikuwa kwa nyuma...Kamtuliza pale jamaa,na jamaa akazuga kuwa karuka geti kama mwanajeshi eti anasema alihudhuria JKT-Mlale hivyo ana mazoezi.Kumbe alionekana anavyodondoka kama gunia.

Hapo mi nipo usawa wa nyasi za unyayo nimelala kimyaaa!!Mara maza akajidai anampeleka jamaa bafuni,kuingia kuoga,akatoka akasema anafungulia mbwa,kuja anasema eti nimpige kimoja cha mwisho halafu ndio anaifungulie...Nikaona huyu atakuwa kamlisha limbwata bwana ake au ana nyege mshindo...mi nikaruka geti huku ananitazama...Nikaitafuta down ya Makongoro....Kila nyumba kule na geti na mbwa tu wananibwekea na watu wanajifungia kuanzia saa mbili...Napita mbwa zinaita tu!!Nilipofika njia kuu...Nilikimbia nakuja kustuka nipo Kona ya Bwiru naitafuta Nyamanoro na hapo natakiwa kwenda mitaa ya Kawekamo.

Nikamzimia na simu...alinisaka mji mzima anione...Akawa anapigia jamaa zangu,nao nikawaambia wasimpe namba yangu,akajiripua akamfuata jamaa yangu wa kota za BOT kumulizia habari zangu,jamaa akamwambia jamaa yupo nje ya nchi anasoma.Akaumia sana sana...Nikaja kukutana nae mwaka 2014...nikampigisha sana bia,halafu pembeni nipo na dogodogo ya kisomali...Eti akaanza kuona wivu!!Nikaona huyu ataharibu picha...Kama naenda chooni,nikampigia msomali wangu akaja nje...Tukasepa zetu!!Siku hiyo nilimuahidi kumpa namba ya simu,nikasepa kimyakimya kama jini mkata kamba

Toka hapo sitaki kabisaa wake za watu...Kufumaniwa au kukoswakoswa kufumaniwa,kusikie tu kwa jirani.Mi nilitembea na chupi mkononi nikidhani "hengachifu" toka Makongoro mpaka kona ya Bwiru,njiani najifutia tu jasho...nakuja kustuka naona maandishi ya Calvin Klein (CK),nasogeza kwenye mwanga,kumbe chupi niliibeba nikidhani nimeivaa mwilini.Ikabidi niitie mfukoni niendelee na safari mpaka gheto.Njia nzima nahisi nakimbizwa na mtu nyuma,kumbe kiwewe tu...Mke wa mtu sumu
Nitaikumbuka Mwanza....Next week nitaenda.
me hoii
 
Chai ya mchana hii
 
Back
Top Bottom