Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Wadau,naomben mnishauri labda mnaweza kunibadili mawazo yangu.me ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa Dsm,niko mwaka wa 3 nachukua bcom-finance,tatizo langu me nimeplan cku nkimalza chuo,ctaki kuhangaika kuomba kazi na kuzunguka na mabahasha kwenye makampuni ya watu coz hata sehemu ya kufanyia fild ilinsumbua kupata hadi dakika za mwisho ndo nkaiotea moja kwenye saccos flan hvi huko mkoani kwa hyo najua kwenye ajira ndo itakua tabu balaa na ukzngatia cna hata mtu wa kunishika mkono ndo nachoka kabisaa,so nimepanga nkimalza tu najiunga na jeshi la wananchi wa tz{jwtz},vp wakuu hli wazo langu liko sahihi au ndo ntakua nimepoteza dira mazima??naomben mnishauri vyema sababu naichukulia jf kama mzazi wangu hvo mawazo yenu ndo mafanikio yangu wakuu.