Yani me mawazo yangu yako jeshini tu!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,naomben mnishauri labda mnaweza kunibadili mawazo yangu.me ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa Dsm,niko mwaka wa 3 nachukua bcom-finance,tatizo langu me nimeplan cku nkimalza chuo,ctaki kuhangaika kuomba kazi na kuzunguka na mabahasha kwenye makampuni ya watu coz hata sehemu ya kufanyia fild ilinsumbua kupata hadi dakika za mwisho ndo nkaiotea moja kwenye saccos flan hvi huko mkoani kwa hyo najua kwenye ajira ndo itakua tabu balaa na ukzngatia cna hata mtu wa kunishika mkono ndo nachoka kabisaa,so nimepanga nkimalza tu najiunga na jeshi la wananchi wa tz{jwtz},vp wakuu hli wazo langu liko sahihi au ndo ntakua nimepoteza dira mazima??naomben mnishauri vyema sababu naichukulia jf kama mzazi wangu hvo mawazo yenu ndo mafanikio yangu wakuu.
 
jeshi ni kazi ya wito, hapo kwako sioni wito au jipange upya uje na thread iliyoshiba
 
kama unakwenda kutafuta maisha jeshini hakufai... alafu huu si muda muafaka mkuu ... alshabab wakimalizana na kenya wataingia tz .. kunahatari mkuu ukawekwa mstari mbele
 
jeshi ni kazi ya wito, hapo kwako sioni wito au jipange upya uje na thread iliyoshiba

Jeshi gani unalolizungumzia wewe? hili la Shimbo? unamaanisha kuwa hata Shimbo ana wito?
Hakuna wito huko ni rushwa kwa kwenda mbele. Bila kujuana hata huko hupati, na ukipata unaweza kuishia kuwa sajini miaka yote kama huna channel za ndani kwa ndani?
 
kaka nasikia hizo nafasi mpaka 2013 kwa sisi raia kwani kuna intake ya wlioko ndani baada
ya hawa jamaa wanaomaliza mwezi ujao halafu wataingia waliopitia JKT BAADA YA hapo ndio raia sisi
sasa mtaani ni pagumu mbaya hasa ukiwa umeenda shule jiandae
 
Subiri al-shabaab wamalize ndugu yangu we kuruta utakuwa chambo ooh
 
fikiria kujiajiri.. si lazima uanze na supermarket, fikiri kitu kama genge!! kama unamkopo si unapesa imelala bank.. genge mtaji wake ni km laki moja na nusu tu, ila uhakika wa kula unakuepo!! na kukua kiuchumi naamini elimu yako itakusaidi ktk hili
 
kwa kuwa unataka baada ya kukosa kazi nyingine ninauhakika hautaweza ila kama unataka toka moyon kweli fuata moyo wako
 
mkuu una mawazo kama ya kwangu baada ya kumaliza master ,lakini usifikri jeshini kazi ndo unapata tuu sio rahisi kiasi hicho,mimi niliomba hizo za wanaomaliza nikiwa na master MBA but nilikosa licha ya kutumia nyenzo ,hata hivyo nilisikitika baada ya kukosa baada ya kumuona rafiki yangu wa karibu kapata,ila nilikuja kuona mungu ananipenda bora nilivyokosa huko hakufai mkuu usinganganie ,mshkaji mpaka leo hajamaliza coz na analalamika laiti angejua asingeomba anatukuta watu tupo mtaani tumeshakamata kazi zetu za maana za heshima pamoja na kwamba tulisota sana ,mimi sikushauri sana ila kama interest zako ziko huko ok
 
Wadau,naomben mnishauri labda mnaweza kunibadili mawazo yangu.me ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa Dsm,niko mwaka wa 3 nachukua bcom-finance,tatizo langu me nimeplan cku nkimalza chuo,ctaki kuhangaika kuomba kazi na kuzunguka na mabahasha kwenye makampuni ya watu coz hata sehemu ya kufanyia fild ilinsumbua kupata hadi dakika za mwisho ndo nkaiotea moja kwenye saccos flan hvi huko mkoani kwa hyo najua kwenye ajira ndo itakua tabu balaa na ukzngatia cna hata mtu wa kunishika mkono ndo nachoka kabisaa,so nimepanga nkimalza tu najiunga na jeshi la wananchi wa tz{jwtz},vp wakuu hli wazo langu liko sahihi au ndo ntakua nimepoteza dira mazima??naomben mnishauri vyema sababu naichukulia jf kama mzazi wangu hvo mawazo yenu ndo mafanikio yangu wakuu.

Hata huko kupata kazi siku ihizi ni issue, we soma upate GPA nzuri!
 
Usifanye utani kaka angalia kwa mara ya pili mana Jeshi sio lelemama ukiingia umeingia na una sain kifo mda wowote..kuna wanamgambo wa alshababu wanakuja kwa kasi bado kundi la ugaidi la Al-quida hao hawana utani. hii nchi unaiona ina amani lakini tunakoelekea mambo si shwari kaka mda wowote utasikia limebuma na wanajeshi wakae tayari kupambana na majanga ya uvunjifu wa amani unaotokana na ugumu wa maisha, unyonyaji wa haki za msingi..zaidi ya yote machafuko yanazidi kuongezeka kila kona usifikiri huku hayatafika yanakuja mda si mrefu. kazi ipo kwa wajeshi usione shwari kwa sasa ilia.....
 
Back
Top Bottom