Yanga yapokea kichapo cha kwanza ligi kuu Bara, Stand United 1-0 Yanga

Siilaumu Yanga kupoteza mechi hii, nimeangalia mpira dakika za awali nikaona jinsi mpira hautulii, kiwanja ni kibovu mnoo.
 
Siilaumu Yanga kupoteza mechi hii, nimeangalia mpira dakika za awali nikaona jinsi mpira hautulii, kiwanja ni kibovu mnoo.
Hahaaaa vipi na Medeama, MO Bejeia na TP Mazembe walitumia viwanja vibovu pia. Tukubali kuwa tumefungwa.
 
Vyura FC dah! Hata Tarehe 1/10 bado Munaanza Kukamata Magoti Kama Salome Mbele Ya Stand??
 
Hahaaaa vipi na Medeama, MO Bejeia na TP Mazembe walitumia viwanja vibovu pia. Tukubali kuwa tumefungwa.
Nyie jamaa kwa sababu sasa Leo nikamsikia mchezaji mmoja wa kati anasema Kwa jinsi uwanja ulivyokuwa ilikuwa inawapa ugumu kuna goli la wapinzani wao kutokana na miinuko kama bonyokwa kilungule
 
Mwadui mliwafunga katika uwanja upi?

Waliwafunga Mwadui ktk uwanja huohuo, labda ulikuwa haujaharibika sana kama jana:)!

Sijui ni lini hizi timu zitajifunza fair game, kukiri kushindwa mechi na kuwapongeza washindi.
 
Siilaumu Yanga kupoteza mechi hii, nimeangalia mpira dakika za awali nikaona jinsi mpira hautulii, kiwanja ni kibovu mnoo.
Kiwanja kibovu!?kwahyo na kwenye mechi ya mwadui uwanja ulikua kama wataifa au!?Yanga mlizidiwa sana na stand kimchezo na hata kama yanga mngeshinda lakini kamwe msingeisahau mechi hiyo
 
Back
Top Bottom