Yanga yapokea kichapo cha kwanza ligi kuu Bara, Stand United 1-0 Yanga

Duh kwa habari hii mshaniaribia safari yangu ya Arusha ngoja niingie kwanza kupata kahawa.....ah muwe mnasubiria mda wa news bana saa mbili usiku....akiyawalai Leo tende sili
 
Wakukodishwa----shoka moja mbuyu chiniiiiiii!!!!!!! Asante sana stand united chama la wana
 
Tarehe mmoja kandambili waje na majeneza kabisa mechi ikiisha ni kwenda kuzika tuu hakuna kulala
 
1474818692176.jpg
 
Back
Top Bottom