Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,665
Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.

rufaa 1.JPG
rufaa 2.JPG
 
Wanaoibeza Yanga kutofanya fitina na kuwasifia Waarabu kwa fitina, ndio hao hao watakuja hapa kutoa povu.

Hata hivyo, huenda huu ni uzushi tu wa mashabiki wa Makolo
 
Ndugu zangu Yanga msijifariji kwa shortcut , Sifa kubwa ya yetu weusi ni kuamini utafanikiwa kwa bahati nasibu au zali ..Hilo linatuchelewesha Sana kufanikiwa ktk nyanja nyingi...jitumeni na kuwa mbinu za uwanjani ..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa una mdomo kushinda mkeo
Jamaa nilijua akili hana baada ya Simba kupigwa mbili na Mayele ngao ya jamii ,alikuwa kila muda nyuzi za malalamiko mara kuhamasisha wawazomee wachezaji ,kususia kwenda uwanjani ,tuhuma kwa wachezaji nk nikashukuru sina ushabiki huo wa mpira maana ukizidi sana matokeo yake huwa kama hayo unaweweseka mno kwa kitu usichokuwa na uwezo nacho kutatua wala kukupa faida.
 
na bado uko busy ku comment kwenye uzi wa mtu asiye na akili...jitafakari mkuu
 
Back
Top Bottom