dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 5,866
- 14,529
Yanga play like big European clubs
I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabaniHabari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na roho mbaya kutotaka kukubali,hakika yanga inaenda kuwa timu kipenzi kwa kila mwafrika kwa sababu kwa sasa ndio timu inayocheza soka la kuvutia na la uhakika kwa sasa barani Afrika na naamini wataendelea kuwa tishio zaidi na zaidi pengine kuja kufuta utawala wa Ahly after 10-15 coming years