dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
5,851
14,518

Yanga play like big European clubs​

I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani

Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na roho mbaya kutotaka kukubali,hakika yanga inaenda kuwa timu kipenzi kwa kila mwafrika kwa sababu kwa sasa ndio timu inayocheza soka la kuvutia na la uhakika kwa sasa barani Afrika na naamini wataendelea kuwa tishio zaidi na zaidi pengine kuja kufuta utawala wa Ahly after 10-15 coming years
 
Naunga mkono hoja
 
Mpira unachezwa uwanjani, sio mdomoni na kwenye keyboard. kumbuka hata wiki mbili hazijapita, Rais wa Yanga na pia ni Rais wa Vilabu vyote Afrika alitamka hadharani kuwa fainali ya mwaka huu ya CAFCL ni kati ya Mamelodi na Al Ahly. Ingekuwa tunafuata maneno, kwa heshima ya rais wako hukutakiwa kuanzisha uzi huu maana unapingana naye
 
Raisi wenu alisema fainali ni kati ya Mamelody na Al Ahly.

Leo unakuja na kipeperushi cha kuokoteza mitandaoni ambacho kimetolewa na mtu mbulula tu asiyejua hata mipango ya timu.

Injinia ambaye ndio mratibu wa kila kitu anasema fainali ni ya Mamelody na Al Ahly.

Sasa kati ya huyo shabiki na raisi wako wa Club yupi wa kumzingatia?

Yupi tumuone tahira na tumpuuze?
 
Mimi mwenyewe mwaka huu nilisema Simba haivuki makundi, ila imevuka kwa kishindo. Hivyo ni maoni tu na hatuyapingi.
wewe hukufikiria vizuri au hujui soka la afrika,kwa kundi lile jepesi na jamaa walivyobobea kwenye ulozi halafu wasingepita!!!
 
Raisi wenu alisema fainali ni kati ya Mamelody na Al Ahly.

Leo unakuja na kipeperushi cha kuokoteza mitandaoni ambacho kimetolewa na mtu mbulula tu asiyejua hata mipango ya timu.

Injinia ambaye ndio mratibu wa kila kitu anasema fainali ni ya Mamelody na Al Ahly.

Sasa kati ya huyo shabiki na raisi wako wa Club yupi wa kumzingatia?

Yupi tumuone tahira na tumpuuze?
usimwamini yule mhuni tu...yeye ndiye aliyesema malengo ya yanga ni kucheza makundi...sasa hivi kikowapi!!!ungemwona nyuma ya pazia anavyoipambania timu ni dhahiri kabisa mamelodi anakomea hii robo fainali.Motsepe na makolo hawatoamini macho yao
 
Mpira unachezwa uwanjani, sio mdomoni na kwenye keyboard. kumbuka hata wiki mbili hazijapita, Rais wa Yanga na pia ni Rais wa Vilabu vyote Afrika alitamka hadharani kuwa fainali ya mwaka huu ya CAFCL ni kati ya Mamelodi na Al Ahly. Ingekuwa tunafuata maneno, kwa heshima ya rais wako hukutakiwa kuanzisha uzi huu maana unapingana naye
usimwamini yule mhuni tu...yeye ndiye aliyesema malengo ya yanga ni kucheza makundi...sasa hivi kikowapi!!!ungemwona nyuma ya pazia anavyoipambania timu ni dhahiri kabisa mamelodi anakomea hii robo fainali.Motsepe na makolo hawatoamini macho yao
 
Yanga play like big European clubs​

I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani

Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na roho mbaya kutotaka kukubali,hakika yanga inaenda kuwa timu kipenzi kwa kila mwafrika kwa sababu kwa sasa ndio timu inayocheza soka la kuvutia na la uhakika kwa sasa barani Afrika na naamini wataendelea kuwa tishio zaidi na zaidi pengine kuja kufuta utawala wa Ahly after 10-15 coming years
Na ni club inayo jumuisha wachezaji toka mataifa mabalimbali Africa, and thus, why it is called Young African sports club, may be it was established for young africans
 
Yanga play like big European clubs​

I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani

Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na roho mbaya kutotaka kukubali,hakika yanga inaenda kuwa timu kipenzi kwa kila mwafrika kwa sababu kwa sasa ndio timu inayocheza soka la kuvutia na la uhakika kwa sasa barani Afrika na naamini wataendelea kuwa tishio zaidi na zaidi pengine kuja kufuta utawala wa Ahly after 10-15 coming years

Shabiki amesoma alama za nyakati na majira ya nukta...bora alivyowasanua wasiende kwa kujiamini.
 
Yanga play like big European clubs​

I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani

Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na roho mbaya kutotaka kukubali,hakika yanga inaenda kuwa timu kipenzi kwa kila mwafrika kwa sababu kwa sasa ndio timu inayocheza soka la kuvutia na la uhakika kwa sasa barani Afrika na naamini wataendelea kuwa tishio zaidi na zaidi pengine kuja kufuta utawala wa Ahly after 10-15 coming years
Mkuu kwa soka la bongo umaintain 10-15 years? Bado sana tena saana
 
usimwamini yule mhuni tu...yeye ndiye aliyesema malengo ya yanga ni kucheza makundi...sasa hivi kikowapi!!!ungemwona nyuma ya pazia anavyoipambania timu ni dhahiri kabisa mamelodi anakomea hii robo fainali.Motsepe na makolo hawatoamini macho yao
Kwani mpaka saizi anapinga kauli yake?

Si jana tu hapo wamesema kufika robo wao ni bonus ambayo haikuwa kwenye mipango.

Mamelody unamuona sawa na timu ulizocheza nazo?

Ngoja nikuambie kitu

Hata Al Ahly hapendi kukutana na Mamelody.

Africa hii hakuna timu ina wish kukutana na Mamelody.
 
sasa unafikiri GSM angewapa timu ahadi ya pesa yote ile ili CRB afungwe?
kama kweli malengi yalikuwa kucheza makundi tu
 
Back
Top Bottom