Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 1,808
- 2,892
Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo
Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz kwasasa hakuna Tena usawa Katika viwango vya wachezaji wa Yanga na timu zingine zote zilizobaki ambazo Sasa zote ni underdog kwa mujibu wetu wanaYanga.
Ona list
1.Diarra, 2. Djuma Shaban,3.Lomalisa,4.Bangala,5.Doumbia, 6.Aucho,7,Moloko,8, Aziz Ki, 9, Mayele, 10, Morisson 11 Kisinda! Benchi Kuna Yacouba na nani vile? Bigirimana na Musonda! Wazawa Kina Nondo na Clement wako wapi hapo? Timu jiwe kama hii ya wageni Maestro tupu wallah Simba hawatoki!
Sasa shida kwa Yanga yangu ni kuwa nafasi za wachezaji wazawa kucheza mechi zinazidi kupotea tunapojaza wageni mafundi WA mpira na hili si suala zuri kabisa kwa wachezaji wazawa na maendeleo ya mpira wetu hasa kiwango cha timu yetu ya taifa! Kina Ambundo, Nkane, Nondo, Shaibu Ninja, Ngushi, Mauya, Kibwana, Clement, Yusuph Athumani, Baka , Farid, Mshery, Sureboy, Mudathir, Feisal wote Sasa watazoea kukaa benchi na timu ya taifa tutafungwa na Kila timu maana tayari tumerudi kuwa kichwa Cha mwendawazimu!
Nawasihi sana msimu ujao nyie TFF msio na akili Wala macho punguzeni idadi inayoruhusiwa ya wachezaji wa kigeni wawe watano tu kwa Kila timu bila hivyo twafaa maana Si Yanga hii Ina sifa Sasa ligi hii haitufai.
Kama nyie Makolo fc mmejaa TFF hamuwezi kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni basi wekeni sheria Kila mechi wachezaji wazawa waanze watano na Wasitolewe hadi half time hapo labda nitawaelewa Kidogo kina Mr Karai!
Sasa Yanga inaweza kupanga first eleven wote wageni na wakacheza vizuri na wachezaji wazawa kuishia kuwa Wasugua benchi , watazamaji na wateja wa waganga wa kienyeji kwenda kupigana misumari na wengine kama Mimi ukiroga sirogeki misumari inarudi kwako!
We kolo Mr Karai hufai utupishe TFF unaua vipaji vya wachezaji wazawa na kuifanya timu ya taifa ya soka kuwa kichwa Cha mwendawazimu. Kupanga ni kuchagua. Wabongo japo tunapenda soka tuchague namba 5! Bakari Nondo alikuja Yanga bonge la beki kisiki na akawa mhimili timu ya taifa Leo Hana namba Yanga, what a f!
Wanayanga Wenzangu unbeaten team mnaodhani nimesema kweli na mnaunga mkono hoja yangu mseme ndiyoooooo!
Wanasimba mikia fc mnaopinga wachezaji wa kigeni watano tu mseme siyooooo!!
Nawasilisha😃