Yanga na cleansheet jamani naomba msichafue daftari

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Na prison 0-0
mtibwa tumeshinda (-3)
mungu tujaalie game ijayo tumpige mtu negative 4
na mnyama tumtandike hasi5 au -6
 
  • Thanks
Reactions: SMU
hivibado mechi ngapi tukutane azabu ya Okwi itakuwa imeisha maana nataka tukikutana tuwefull tuwatandike za kutosha..
 
Na prison 0-0
mtibwa tumeshinda (-3)
mungu tujaalie game ijayo tumpige mtu negative 4
na mnyama tumtandike hasi5 au -6

Na wewe pia kumbe ni wa mtaa wa ule,hivi mlikuwa wapi siku zote hizo?
 
hivibado mechi ngapi tukutane azabu ya Okwi itakuwa imeisha maana nataka tukikutana tuwefull tuwatandike za kutosha..
Okwi kuna hati hati ya kuwakosa Ndala, maana nimesoma gazeti moja, red card aliyopata ilitokana na kumpiga beki wa JKT Ruvu kipepsi hivyo anaweza kufungiwa mechi tatu.
 
Na wewe pia kumbe ni wa mtaa wa ule,hivi mlikuwa wapi siku zote hizo?
Mkuu vipi naona leo hutaki kutuambia tumfungashie Rage virago pamoja na Sunzu naye tuachane naye badala yake unahesabu mashabiki wa mtaa wa pili.
 
Kiongozi nipo natafakari hii fedheha tuliyoipata lkn amini usiamini Yanga ya mwaka huu mtaiongelea sana,tuvut
e subira.
 
hivibado mechi ngapi tukutane azabu ya Okwi itakuwa imeisha maana nataka tukikutana tuwefull tuwatandike za kutosha..
Mechi mbili, ya tatu ndo tunamenyana na hao Yeboyebo a.k.a tano bila. kuhusu Okwi kumkosa kwenye hiyo mechi usiofu;ata bila yeye tutawaliza tu kikosi chetu kwa ujumla kiko njema na tayari kwa mpambano.
 
Kiongozi nipo natafakari hii fedheha tuliyoipata lkn amini usiamini Yanga ya mwaka huu mtaiongelea sana,tuvut
e subira.
Haya mkuu endelea kutafakari, lakini kama mnataka ushindi achaneni na mfumo wa kupanga natural defenders sita la sivyo mtazidi kulia kila siku.
 
Kiongozi nipo natafakari hii fedheha tuliyoipata lkn amini usiamini Yanga ya mwaka huu mtaiongelea sana,tuvut
e subira.
Haya mkuu endelea kutafakari, lakini kama mnataka ushindi achaneni na mfumo wa kupanga natural defenders sita la sivyo mtazidi kulia kila siku, hii ilitutokea Kagame kocha alikuwa hapangi mawinga typical na hata mechi nyingi za kirafiki alitumia viungo wa mbele kucheza dimba la chini Kinje na Kazimoto kwa hiyo mabeki hawakuwa na mtu mzuri wa kuwalinda ndo maana tulifungwa mechi nyingi.

Nimeona kikosi chenu cha kesho kamwacha garasa Bahanuzi.
 
Mechi mbili, ya tatu ndo tunamenyana na hao Yeboyebo a.k.a tano bila. kuhusu Okwi kumkosa kwenye hiyo mechi usiofu;ata bila yeye tutawaliza tu kikosi chetu kwa ujumla kiko njema na tayari kwa mpambano.
Basi atakuwepo labda wacheze mchezo mchafu nje ya uwanja...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom