Yanga itaishia hatua ya makundi club bingwa 2023/2024

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.

Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
  1. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika.
  2. Yanga inacheza na timu kubwa na bora barani Afrika,Ally ahly ni timu ya kwanza kwa ubora barani Afrika na Belazdad ni timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.
  3. Hizi timu kubwa zina wachezaji professional na wenye viwango vikubwa na thamani kubwa ukilinganisha na wachezaji wa Yanga.
  4. Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
  5. Ubora wa yanga ni kwenye kombe la shirikisho na sio club bingwa..(looser ligi)na si vingenevyo.
  6. Yanga hawana uwezo wa kusajili wachezaji professional wa kuanzia bilioni na kuendelea kama wapinzani wao..wanalokota lokota walevi kama wakina Okra
  7. Yanga imeachiwa laana na baba yake SIMBA sc(mfalme wake Simba sc) kwasababu hana heshima na ajitambui na udogo na ubovu wake..ukitaka kufanikiwa appreciate maendeleo ya aliyekuzidi nipo utabarikiwa na kuendelea.
 
Ulikuwa wapi siku zote?

Mechi zishafika nusu ndio waja na utabiri...
 
Wewe ndio unaendelea kudhihirisha jinsi mashabiki wa Simba wanavyoteseka na muenendo wa club bora ya muda wote (YANGA).

YANGA ipo midomoni mwenu kila kukicha huku nyinyi mkitembelea kivuli cha kujiita wakubwa baada ya kushiriki robo fainali mara 4, bilashaka muda utafika na kilichobora kitaonekana na YANGA kuishia hatua ya makundi ni matokeo tu kama tulivyoishia mapinduzi kikubwa bado tunaendelea kuijenga timu.

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Mbumbumbu katika ubora wake, Hivi unajua kuwa Simba ilianzishwa baada ya baadhi ya mashabiki na wachezaji wa Yanga kuisaliti Yanga kwa Ahadi ya Mkoloni wa Kiingereza kuwa ahidi viatu!!

Hivi unafahamu pale shamba la bibi Jukwaa kuu Green stand mpaka mwishoni mwa miaka ya 80 upande wanao Kaa mashabiki wa Simba 40% ya mashabiki walikua ni wahindi walio ambatana na timu Tangu kipindi Cha ukoloni.
 
Hivi wewe ulivyo mbumbumbu,kuanzia 1960 kurudi nyumba kulikuwa na nchi inayoitwa Tanzania?na rais gani alikuwepo kabla ya 1960,hizo timu za watumwa ndio yanga au?kulikuwa na ligi gani enzi hizo?
Nb.nikipekuwa mahali sio timu inayaoitwa Simba sc au yanga iliyosajiliwa kabla ya 1960 bali naona timu za watumwa..jaribu kutofautisha kati ya John na Joice
 
Yanga watabisha ila Dirisha linakaribia kufungwa na Musonda ndo straika wao, Caf ikianza wana Mechi na Belouizdad...... Mi niko pale Nimekaa.
 
Hapo vip!!
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.

Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
  1. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika.
  2. Yanga inacheza na timu kubwa na bora barani Afrika,Ally ahly ni timu ya kwanza kwa ubora barani Afrika na Belazdad ni timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.
  3. Hizi timu kubwa zina wachezaji professional na wenye viwango vikubwa na thamani kubwa ukilinganisha na wachezaji wa Yanga.
  4. Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
  5. Ubora wa yanga ni kwenye kombe la shirikisho na sio club bingwa..(looser ligi)na si vingenevyo.
  6. Yanga hawana uwezo wa kusajili wachezaji professional wa kuanzia bilioni na kuendelea kama wapinzani wao..wanalokota lokota walevi kama wakina Okra
  7. Yanga imeachiwa laana na baba yake SIMBA sc(mfalme wake Simba sc) kwasababu hana heshima na ajitambui na udogo na ubovu wake..ukitaka kufanikiwa appreciate maendeleo ya aliyekuzidi nipo utabarikiwa na kuendelea.
Na ndiyo yalikuwa malengo yetu kwa msimu huu. Hivyo hakuna atakayeumia, wala kupatwa na mshtuko.

Una jambo lingine linalokusumbua, nje ya hili?
 
Hapo vip!!
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.

Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
  1. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika.
  2. Yanga inacheza na timu kubwa na bora barani Afrika,Ally ahly ni timu ya kwanza kwa ubora barani Afrika na Belazdad ni timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.
  3. Hizi timu kubwa zina wachezaji professional na wenye viwango vikubwa na thamani kubwa ukilinganisha na wachezaji wa Yanga.
  4. Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
  5. Ubora wa yanga ni kwenye kombe la shirikisho na sio club bingwa..(looser ligi)na si vingenevyo.
  6. Yanga hawana uwezo wa kusajili wachezaji professional wa kuanzia bilioni na kuendelea kama wapinzani wao..wanalokota lokota walevi kama wakina Okra
  7. Yanga imeachiwa laana na baba yake SIMBA sc(mfalme wake Simba sc) kwasababu hana heshima na ajitambui na udogo na ubovu wake..ukitaka kufanikiwa appreciate maendeleo ya aliyekuzidi nipo utabarikiwa na kuendelea.
Mlianza kusema yanga hatoboi makundi, sasa mmebadil gia angani....NA BADO,SISI HATUNA MAKELELE
 
Mlete mzee wako aliyekulipia Ada maana inaonekana fedha yake ilipotea Bure ukabaki mbumbumbu.

kutokuwepo kwa Tanzania hakufanyi Yanga isiwepo, Iyo Tanzania ilipatikana kwenye vikao vya klabu ya Yanga, Achana na Tanzania Yanga ilikuwepo kabla ya 1930 na maanisha kabla ya Tanu.

mwaka 35 ili sajiliwa rasmi na mamlaka za kikoloni na kutambulika kama taasisi inayo jihusisha na michezo.

Sasa jiulize kombe la Afrika mashariki na kati Lili anzishwa 1930 wakati yaki itwa (GOSEJI )na Tanganyika, Kenya na Uganda zilishiriki hujiulizi wachezaji walitokea wapi!!
 
Hapo vip!!
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.

Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
  1. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika.
  2. Yanga inacheza na timu kubwa na bora barani Afrika,Ally ahly ni timu ya kwanza kwa ubora barani Afrika na Belazdad ni timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.
  3. Hizi timu kubwa zina wachezaji professional na wenye viwango vikubwa na thamani kubwa ukilinganisha na wachezaji wa Yanga.
  4. Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
  5. Ubora wa yanga ni kwenye kombe la shirikisho na sio club bingwa..(looser ligi)na si vingenevyo.
  6. Yanga hawana uwezo wa kusajili wachezaji professional wa kuanzia bilioni na kuendelea kama wapinzani wao..wanalokota lokota walevi kama wakina Okra
  7. Yanga imeachiwa laana na baba yake SIMBA sc(mfalme wake Simba sc) kwasababu hana heshima na ajitambui na udogo na ubovu wake..ukitaka kufanikiwa appreciate maendeleo ya aliyekuzidi nipo utabarikiwa na kuendelea.
Rage ajengewe sanamu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom