Yanga isipocheza fainali za CAF champions niiteni zumbulugutu

Ila huu upumbavu umezidi sana. Yaani hao Mamelodi wenyewe hawawezi kutoa kauli hiyo ya kwamba "...ni lazima tucheze fainali!". Huku siyo kujiamini, ni upumbavu.
Kaka sitanii, hizi kelele za mashabiki wa Simba kuhusu

Usidhani KMC, JKT na ASAS kufungwa goli 5 ni kwakuwa ni timu mbovu, usifikiri Al-Merreikh kufungwa nje ndani ni kwakuwa ni timu dhaifu sana, namungo na Kaze hawakufungwa kwa bahati mbaya. Usifikiri Simba kwenda makundi kwa kupata point 2 TU, kuruhusu magoli na mtibwa ni kwa bahati mbaya tu kaka. Ukweli ni kwamba hata Simba kwenye Ngao ya jamii kule Tanga ilifungwa na Yanga ila refa TU na magoli mengine Kukataa kuingia golini TU.

Usidhani mashabiki wa Simba wanaolalamikia kiwango kibovu Cha timu Yao ni wapumbavu na vichaa, ni kutokana na kiwango Cha Yanga Cha Sasa.
 
FB_IMG_1682646137959 (3).jpg
 
Tunza huu Uzi sehemu nzuri. Yanga msimu huu Ina wachezaji na kocha sahihi. Timu zinafungwa goli 5 sio kwa uzembe. Gamondi ana exposure kubwa, sio mwehu kusema timu yake inaweza kucheza na real Madrid au Barcelona.
Nakazia
 
Kaka sitanii, hizi kelele za mashabiki wa Simba kuhusu

Usidhani KMC, JKT na ASAS kufungwa goli 5 ni kwakuwa ni timu mbovu, usifikiri Al-Merreikh kufungwa nje ndani ni kwakuwa ni timu dhaifu sana, namungo na Kaze hawakufungwa kwa bahati mbaya. Usifikiri Simba kwenda makundi kwa kupata point 2 TU, kuruhusu magoli na mtibwa ni kwa bahati mbaya tu kaka. Ukweli ni kwamba hata Simba kwenye Ngao ya jamii kule Tanga ilifungwa na Yanga ila refa TU na magoli mengine Kukataa kuingia golini TU.

Usidhani mashabiki wa Simba wanazolalamikia kiwango kibovu Cha timu Yao ni wapumbavu na vichaa, ni kutokana na kiwango Cha Yanga Cha Sasa.
We kweli zero simba kaenda makundi kwa kupata points mbili? Mtoano una points?
 
Kaka sitanii, hizi kelele za mashabiki wa Simba kuhusu

Usidhani KMC, JKT na ASAS kufungwa goli 5 ni kwakuwa ni timu mbovu, usifikiri Al-Merreikh kufungwa nje ndani ni kwakuwa ni timu dhaifu sana, namungo na Kaze hawakufungwa kwa bahati mbaya. Usifikiri Simba kwenda makundi kwa kupata point 2 TU, kuruhusu magoli na mtibwa ni kwa bahati mbaya tu kaka. Ukweli ni kwamba hata Simba kwenye Ngao ya jamii kule Tanga ilifungwa na Yanga ila refa TU na magoli mengine Kukataa kuingia golini TU.

Usidhani mashabiki wa Simba wanazolalamikia kiwango kibovu Cha timu Yao ni wapumbavu na vichaa, ni kutokana na kiwango Cha Yanga Cha Sasa.
Yan ulipoandika Simba ana points 2 tu basi nikaconclude huyu jamaa ni mbulula.
 
Back
Top Bottom