Yanga ina bahati ya kupata washambuliaji hatari kutoka nje ya Tanzania

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Nani asiyejua kutetema? Japo mimi Simba ila wakati mwingine najificha hata kichakani ili niteteme jamaa zangu wa Simba wasinione.

Twende kwenye mada, kwa hesabu zile za darasa la nje Yanga ndiyo timu yenye kuwa na bahati ya kupata straika hatari kutoka nje ya nchi.

Anzia tu mzee wa kutetema Fistoni Kalala Mayele beki na makipa wa timu pinzani hawana hamu na huyu kiumbe.

Donald Dompo Ngoma
Mzimbabwe huyu naye alikuwa chuma haswa beki zimeteswa.

Bonifasi Ambani
Jamaa wa Ruto tu hapo naye alikuwa straika mmoja hatari, kapanda hewani akiona nyavu anaanza kulia, japo sika hakika ila nasikia mwamba baada ya kuibuka mfungaji bora na kuwanyima wenzake mpunga wakaanza kumbania kumpa pasi.

Didier Kavumbagu
Kijana toka Bujumbura/Burundi aliwika sana, beki na makipa walikua wakilala wanamwota.

Hamis Tambwe
Nakumbuka timu yangu ilimtupia virago kwa kigezo kiwango kimeshuka ila baada ya kwenda Yanga aliendeleza makali yake.

Maurice Sunguti
Jamaa mwonekano wake ulikuwa kama mzee fulani, ila uliza mabeki waliokutana naye kipindi kile watakwambia kweli kama alikuwa mzee au kijana kati ya foward matata kutokea pale Yanga.

Hamis Kiiza Diego
Ulikuwa ukisikia mtangazaji kataja Kiiza ujue watu bamerokota kwa nyavu. Hakuwa na mambo mengi ila alikuwa analifahamu goli lilipo.

Emanuel Okwi
Uzuri wa huyu mwamba yeye hakui, kila mwaka ana miaka 25! Japo naye alipita Yanga ila hakua na makali kivileee japo alitoa mchango wake pia.

David Molinga
Straika fulani hivi heavy weight, mwamba kipindi Yanga inapita kwenye mapito ya jangwani aliibuka kuwa top scorer wa timu na magoli yake fulani hivi ya free kick za utatoa hutoi.

Heriter Ebener Makambo
Ndiyo yule yule mzee wa kuwajaza, jamaa alikuja kama mwamba asiyeimbwa ila baadaye aliibuka kuwa shujaa. Aliua kiwango baada ya kwenda Horoya.

Yeah, kama nawe unawakumbuka mastraika wa kigeni waliovuma pale mitaa ya Twiga na Jangwani endeleza listi.

Tukumbuke pia Yikpe naye kapita Yanga akiwa straika wa hatari ila anakwambia alilogwa tu akawa haoni goli.
 
Nilipomuona molinga kwenye orodha ya straika wa yanga nikakudharau kabisa!!
 
Nonda Shaban
Yeye Alicheza yanga mwaka 1995-96 na baadae akaenda south afrika akatokezea PSG ya ufaransa.
 
Eti nini? Kwahiyo Simba haijawahi kuwa nao wa aina hiyo, na hata kuzidi?

Ulikuwa mtoto wakati EMMANUEL OKWI anacheza pale Unyamani?(huyu alitwaa sana ufungaji na uchezaji bora kumzidi Mayele).

Tuseme hukuwahi kumwona Mnigeria EMEH EZECHUKWU?(aliingia kwenye rekodi ya kumpa kipigo kocha wake Mzungu, akiwa na Mnigeria mwenzake ORJI OBINA).

Au tuseme ulikuwa hujazaliwa wakat Simba ilipomsajili Mliberia WILLIAM FAHNBULLER,kati ya mwaka 1995-1997,na kuwa mchezaji was kwanza kutoka Afrika Magharibi kucheza kwenye ligi yetu? Aliwahi kucheza sambamba na GEORGE WEAH (mshindi wa Ballon D'or na Rais wa sasa wa Liberia) wakati Liberia ilipomenyana na Taifa Stars ya akina Alphonse Modest mwaka 1996/1997, pale Shamba la Bibi.
 
Nilipomuona molinga kwenye orodha ya straika wa yanga nikakudharau kabisa!!

Sasa dharau zako mimi zinanisaidia nini just a simpo qn kwanini unataka kusikia unachotaka wewe hayo ni maoni yangu.

Only in Tz mtu anamdharau mtu ambaye hajawahi hata kumwona acha roho chafu kaka mkubwa
 
Nani asiyejua kutetema? Japo mimi Simba ila wakati mwingine najificha hata kichakani ili niteteme jamaa zangu wa Simba wasinione.

Twende kwenye mada, kwa hesabu zile za darasa la nje Yanga ndiyo timu yenye kuwa na bahati ya kupata straika hatari kutoka nje ya nchi.

Anzia tu mzee wa kutetema Fistoni Kalala Mayele beki na makipa wa timu pinzani hawana hamu na huyu kiumbe.

Donald Dompo Ngoma
Mzimbabwe huyu naye alikuwa chuma haswa beki zimeteswa.

Bonifasi Ambani
Jamaa wa Ruto tu hapo naye alikuwa straika mmoja hatari, kapanda hewani akiona nyavu anaanza kulia, japo sika hakika ila nasikia mwamba baada ya kuibuka mfungaji bora na kuwanyima wenzake mpunga wakaanza kumbania kumpa pasi.

Didier Kavumbagu
Kijana toka Bujumbura/Burundi aliwika sana, beki na makipa walikua wakilala wanamwota.

Hamis Tambwe
Nakumbuka timu yangu ilimtupia virago kwa kigezo kiwango kimeshuka ila baada ya kwenda Yanga aliendeleza makali yake.

Maurice Sunguti
Jamaa mwonekano wake ulikuwa kama mzee fulani, ila uliza mabeki waliokutana naye kipindi kile watakwambia kweli kama alikuwa mzee au kijana kati ya foward matata kutokea pale Yanga.

Hamis Kiiza Diego
Ulikuwa ukisikia mtangazaji kataja Kiiza ujue watu bamerokota kwa nyavu. Hakuwa na mambo mengi ila alikuwa analifahamu goli lilipo.

Emanuel Okwi
Uzuri wa huyu mwamba yeye hakui, kila mwaka ana miaka 25! Japo naye alipita Yanga ila hakua na makali kivileee japo alitoa mchango wake pia.

David Molinga
Straika fulani hivi heavy weight, mwamba kipindi Yanga inapita kwenye mapito ya jangwani aliibuka kuwa top scorer wa timu na magoli yake fulani hivi ya free kick za utatoa hutoi.

Heriter Ebener Makambo
Ndiyo yule yule mzee wa kuwajaza, jamaa alikuja kama mwamba asiyeimbwa ila baadaye aliibuka kuwa shujaa. Aliua kiwango baada ya kwenda Horoya.

Yeah, kama nawe unawakumbuka mastraika wa kigeni waliovuma pale mitaa ya Twiga na Jangwani endeleza listi.

Tukumbuke pia Yikpe naye kapita Yanga akiwa straika wa hatari ila anakwambia alilogwa tu akawa haoni goli.
Kenneth Asamoah,Davis Mwape,Kuna yule Mliberia yule
 
Sababu umemzungumzia Yikpe basi mzungumzie na Sarpong 🤣🤣🤣
 
Lakini usisahau yanga IMEKUWA na straiker wabovu Hajabu. Eg Molinga, Sarpong, Robert jama MBA, Yikpe na wengine wengi sana.

Kuwaingiza TAMBWE NA OKWI HAPO NI KOSA KUBWA SANA .

Molinga nimbovu sana
 
Michael sarpong na ditram nchimbi umewasahau au walikuwa makocha wa yanga.
 
Back
Top Bottom