Yanga bingwa tusker 2009

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Yanga imetangazwa kuwa Bingwa wa tusker 2009 baada ya kuishinda Sofa paka ya kenya kwa goli 2 kwa moja.
Hongera wana Yanga..
Yanga oyeeeeeeeeeee.
 
Tehe Yanga tumemaliza mwaka kiutamu ajabu, tumeua mnyama halafu tumemalizia na nyau tehetehe
 
1935 klabu hi ilianzishwa chini ya wazalendo halisi yaani wapaa samaki na wafua Nazi waliokiwa wakijumuika kwa pamoja na baadae kujiunga na kuanza harakati za kuanza kuusaka uhuru.
Hivyo unapozungumzia uhuru wa taifa hili basi wazi kuwa unatakiwa uitaje Dar young african ama Yanga.
Timu pekee yenye uwanja na makao makuu na uwanja kama timu za ulaya...
Yanga Imara...
Daima mbele
Nyuma mwiko
 
historia ya yanga ni nzuri kama hitoria ya chama chetu...lakini..yanga imetoka kuwa timu ya wanyonge hadi kuwa timu ya kusafishia MAFISADI njia...so bad!!

bora simba tangu awali inajulikana ni timu ya medium class....sunderland..wafanyabiashara na watumishi..enzi hizo,...yanga wameitukana hiztoria yao....

NGUVU MOJA!!!.- aka MNYAMA!!!

sasa kila kitu ni manji....iko wapi Yanga ya kina Jumanne Mangara???
 
Yanga imetangazwa kuwa Bingwa wa tusker 2009 baada ya kuishinda Sofa paka ya kenya kwa goli 2 kwa moja.
Hongera wana Yanga..
Yanga oyeeeeeeeeeee.
we inaonekana ni mchoyo wa 'senks'
embu angalia hapa chini...
Posts: 127
Thanks: 0
Thanked 32 Times in 22 Posts
 
KUna mtu mmoja shabii wa yanga nilikuwa naye sehemu tukikamata kilaji akasema kuwa tatizo la yanga ilikuwa kocha Kondic..eti alikuwa wa Simba....lakini huyu wa sasa hivi ameibadilisha sana yanga kiuchezaji

kwa jana Sofapaka walishajiamini ombe ni lao hadi dakika za lala salama walipopigwa magoli mawili chap chap...nadhani ndio maana kipa wao akafanya fujo

hongera yanga
 
Tatizo simba waliungana na Paka aka Nyau kushambulia wananchi hivyo ikabidi uzalendo ukatumika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom