Yanayotendeka usiku baada ya bunge yanaonyesha wazi hatuna wabunge

Pasco umenena huyu si mwandishi wala si chochote.... Kama ni vyeo abaki navyo.....mitaani... Uandishi wa habari za uchunguzi unaenda hivi... kwanza ndo umeingia jf...unaanza kupost uzushi.

Nitatoka tu mkuu hapa JF tena muda siyo mrefu maana wewe umeona uzushi! Nadhani kwa muda wote uliokaa hapa hujajua vizuri JF inasaidiaje vyombo vya habari! na Tena ungezingatia usingekaa kupinga vitu ambavyo vipo na wazi na ni UOZO! Fikiria sana moyoni mwako na akilini mwako kutetea uozo ni sawa na kununua nyanya zilizooza sokoni ukampelekea mke wako! Unayoyaona mjengoni hayatokei huko tuuuu! Chini huku please! Axkyusi mi!:coffee:
 
Hapana mkuu mimi sioni kama ni uozo naona kama ni kufanya investigative journalism.., na kama uwezo unaonao tunaomba uendelee kuchimba issue za ufisadi na mchango wako utakuwa always welcomed
 
Tutateteaaaaa weeee tabia zao personally......nakusisitiza kuwa issue ni kuangalia bungeni wanafanya nini......ila ukitumia hekima kidogo utagundua kuwa tabia ya mtu personally, inaafect kwa kiwango kikubwa sana tabia yake professionally.

kwa hiyo msiseme mambo yao binafsi hayatuhusu......as long as ni mbunge wetu, mambo yake binafsi yanatuhusu sana.....binadamu sio machine, binadamu ni watu wenye nafsi, na nafsi hiyo ndio inafanya kazi popote walipo.....kwenye machangudoa na kwenye bunge.
 
By the way hivi kuwa Mchunguzi unahitaji Degree au ni kipaji cha mtu na uwezo wake wa kuwa observant, na kupata contact za kutosha..? kwahiyo wakuu tusim-disqualify jamaa sababu kaanza kazi juzi.., issue tuangalie ufanyaji kazi wake.
 
Tutateteaaaaa weeee tabia zao personally......nakusisitiza kuwa issue ni kuangalia bungeni wanafanya nini......ila ukitumia hekima kidogo utagundua kuwa tabia ya mtu personally, inaafect kwa kiwango kikubwa sana tabia yake professionally.

kwa hiyo msiseme mambo yao binafsi hayatuhusu......as long as ni mbunge wetu, mambo yake binafsi yanatuhusu sana.....binadamu sio machine, binadamu ni watu wenye nafsi, na nafsi hiyo ndio inafanya kazi popote walipo.....kwenye machangudoa na kwenye bunge.

Kingine mkuu hatari ya Taifa letu jaman, Kumbuka hapa UDOM wanafunzi 80 HIV positive walishawahi kumwagwa hapa ikiwa ni msaada wa MAMA JK sasa hawa 80 mara 2 unapata 160 si ndio? haya 160 mara 2 unapata ngapi? wabunge wetu ndo wanajiingiza huko, hatutapoteza na wale tunaotegemea watuokoe hapo baadae? Uozo huu mbaya! Ukitaka kuproof kwa wale mlio Dom pita mitaa ya AREA A. AREA C maeneo kama Rozi G ndio utaelewa ninachokisema! Uozo Axkyusi!:coffee:
 
Pumbavu zako wewe Radio Producer, njaa inakusumbua toa wehu wako humu! Mi namfahamu sana huyu jamaa ni toboa tonge tu hana dili huyu! Yeye kweli anafanyakazi hiyo lakini yanatuhusu nini sisi hayo?:A S 20:
 
Any way, it can be an issue, if they are moving with under 18s. otherwise personal life should remain personal and we should respect it. None of us could claim to be an angel, we have sinned and we are still sinning and we only need the Grace of God for our redemption.
You talk of ethics, they are rotten starting from the padres, the wachungujis, the sheikhs, name them. We only need the Grace of God for our redemption.
Lets focu much on what we need as a community! Are they doing the right things for our community? Are they representing us correctly? Most of them are only thinking of "posho" as you have heard y'day some yelling to CDM MPs that even during posho get out??/!!!!!
 
Pumbavu zako wewe Radio Producer, njaa inakusumbua toa wehu wako humu! Mi namfahamu sana huyu jamaa ni toboa tonge tu hana dili huyu! Yeye kweli anafanyakazi hiyo lakini yanatuhusu nini sisi hayo?:A S 20:

Weninge sijui wanaidea gani tu? haya mkuu asante sana kwa wema wako!
 
Samahani wanainchi mi ni mwandisi wa Habari sa uchungusi, ilinibidi kuzama dom na hatimaye mtaani kujioneya yanayojiri usiku baada ya bunge ni UOZO! Huwezi kuamini kuona wabunge tunaowatarajia walinde maadili na kuwaelimisha wanachi wao ndio wa kwanza kwenda kunua MACHANGUDOA WANAOJIUZA! Nimesikitika sana, Bungeni kelele tu wakirudi huku nako uchafu tu, jaman hawa si wanaharibu nchi yetu? Ni mara mia ingetokea ufanywe msako kwenye maguest wanakolala ndo mngeona uozo ulivyo! Si wote lakini. Axkyusi! :pray:

Hao role model wao ni Silvio (Benito Bellusconi).Hata wajukuu twende tu.Tuna kazi kweli kweli.
 
Thanks sana bwana mkuu! Sasa nikupate wapi? make nimekumind uwe friend wangu ile nomaaaa! Nipe data za Shigongo baba! kama uko dom tufanye Pm tukutane leo uko pouwa?
Niko Dom maurafiki ni kwenye fb sio humu jf. Urafiki wetu wana jf ni katika kumwaga nondo na kukata issues sio kukutana. Kwa time za mchana zote nashinda viwanja vya Bunge na usiku mimi ni kama wabunge sasa tutaonana saa ngapi watu tuko bize usiku na mchana?.

Nakushauri tuendelee kukutania humu humu jf.
 
Shukrani! Samahani mkuu sitaweza kutoa picha zozote kwa sasa kama hujasikia waliotoa picha za Jk wanasakwa kwa udi na uvumba! unajua hii kitu? Who.is: Whois Lookup, Website, Domain Name, and IP Tools - Who.is hii kitu mbaya inaweza ikakushika wewe bila shida! pole!:coffee:
Mkuu si kweli unaweza ukaupload pictures kwenye internet cafe..., ukazipeleka youtube au megaupload kwa id feki.., na hapa ukatupa link na hakuna atakayekupata....pili kama unaphotoshop sawa lakini kama pics zako ni genuine tena unaweza ukaongeza kipato kwa kuuzia picha zako magazeti ya udaku... (thats how paparazzi earn their living)
 
Samahani wanainchi mi ni mwandisi wa Habari sa uchungusi, ....Axkyusi!
Radio Producer, umetutia mashaka kama kweli wewe ni mwandisi wa habari sa uchungusi!. Wahandisi tunaowajua sisi ni wa ujenzi hawa wa habari ni waandishi na hizo habari ni za uchunguzi sio sa uchungusi!.
 
Mkuu si kweli unaweza ukaupload pictures kwenye internet cafe..., ukazipeleka youtube au megaupload kwa id feki.., na hapa ukatupa link na hakuna atakayekupata....pili kama unaphotoshop sawa lakini kama pics zako ni genuine tena unaweza ukaongeza kipato kwa kuuzia picha zako magazeti ya udaku... (thats how paparazzi earn their living)

Duh! nakubali ila sasa wacha kwanza nijenge hata kamjengo basi kawatoto wangu ili nikitembea watabaki wanakuwa na sehemu ya kuishi! I know more these things are very risk!:coffee:
 
Radio Producer, umetutia mashaka kama kweli wewe ni mwandisi wa habari sa uchungusi!. Wahandisi tunaowajua sisi ni wa ujenzi hawa wa habari ni waandishi na hizo habari ni za uchunguzi sio sa uchungusi!.

Mi mmasai bana! nasema mimi masai! naruhusu kukosoa nakusahihisa! mi masai ba nasema mimi masai!
 
Back
Top Bottom