Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

Rais aache kulalamika. Aoneshe uongozi. Afanye maamuzi magumu. Lakini kama walishindwa kufanaya maamuzi magumu kwa lowasa, ni vigumu sana kwa sasa. Huu ni mwanzo wa mwisho wa ccm. Nakushauri (why by name) vua gamba vaa gwanda.
 
Wanaopokea rushwa kwani walilazimishwa kuwachangua viongozi wala rushwa?
Kura si ni siri ya mtu mwenyewe?

Muache longolongo...kwani mlikuwa hamjui kuwa ni rushwa tupu imejaa humo kwenye chama chenu cha magamba?

Ningekuwa mimi ni mjumbe humo "rushwa ningekula, lakini ningechagua JEMBE"
Mkuu si umesikia na ndumba zilikuwepo za kumwaga???Aaagh!!Waacheni mashetani yafanye kazi yao ya kishetani bhana,ipo siku tu!!!!
 
Why na Wana JF,
Kwanza nikupe Pole kwa Kuumia kwa kuoona Wenye Nazo aka Pesa wanapeta.
Nikuulize Swali la Kuzushi, haya ndio umeona na kufunguka leo? maana kama Swala hili la Ufisadi na Rushwa sasa hivi sio Geni tena kwetu Watanzania na Tanzania yetu.
Mungu ametupa Uwezo na Mamlaka na vitu vyote hapa Duniani, Ni Bora ukose Elimu lakini Usikose Akili. Tuna Viongozi wangapi wenye Elimu na MaDigrii wamefanyia aka wana Uchungu wa Nchi yetu ??
Imefika wakati haswa sasa wa WaTanzania tuseme Enough is Enough, tuache Kulalamika, tutumie Nafasi tuliyopewa na Mwenyezi Mungu kuwa Wazalendo na Kuitumikia Nchi yetu. Tufanye Kazi kwa Bidii na kufuata Sheria.
Tafakari then Chukua Hatua. Tanzania Itajengwa WaTanzania.
Nawakilisha.

Ndugu zangu mimi kama mwanaCCM nipo ndani ya huu mkutano mkuu wa uchaguzi ndani ya jumuiya hii ya chama lakini yanayotendeka humu ndani kwa kweli sikubaliani nayo na ndio mana hata CHADEMA wanapotusema nje ni vema tukawa waungwana na kukubali kuwa ni vema tukajaribu kubadilika lakini ni vigumu mana tunaendelea kuwahadaa watanzania kuwa tupo kuwatetea wao.
Mimi nipo ndani ya CCM hapa katika kikao hiki lakini siungi mkono vitendo vya rushwa vinavyoendelea kuitafuna CCM mpaka sasa ndio matokeo yanatangazwa ya washindi wa uchaguzi lakini ukweli ni kwamba wanatangazwa waliofanikiwa kutoa fedha na kuweza kuchaguliwa sasa hiki ni chama gani kama mpaka utoe fedha ndio uchaguliwe.
HUU NDIO UCHWARA UNAOENDELEA KUWAPA UMAARUFU WAPINZANI WETU PALE TUNAPOKUWA WAGUMU KUJIREKEBISHA.
HAPA NDIO MATOKEO YANAANZA KUTANGAZWA PUNDE NITAYAJUMUISHA HUMU ILA TUNASIKITISHWA MAANA BILA KUWA NA PESA HUWEZI ONGOZA UVCCM NA KWELI VIJANA TUMEONESHA MFANO MBOVU MANA TUMESHINDWA KUSHIKAMANA NA KUTETEA SWALA LA RUSHWA.
MATOKEO YA MWENYEKITI NI WIZI MTUPU MTU KWA SABABU ANAO UWEZO WA KUTOA PESA KATOA NA KAPITA DUUUUUUUUUUU NAUMIA HAPA KAMA NIMLUKIE LUKUVI MANA NDIO ANATANGAZA MATOKEO MANA NAPATA HASIRA SANA.
MWENYEKITI SADIFA MAKAMU MBONI MHITA HAYA NDIO MATOKEO YALIYOPANGWA NA WANAOJIITA VIGOGO WA CHAMA MIMI KWELI NASEMA KAMA TUNAHITAJI KWENDA MBELE NA CCM YETU VEMA TUBADILIKE .
 
*Mleta mada unasikitika nini?
Mbona hamna jipya hapo. Kila kitu kilikuwa wazi kabisa katika kila hatua kuanzia huku chini tena miaka na miaka.

*Rushwa? Mgombea gani hakutoa rushwa hapo? TAKUKURU si walikuwepo mwanzo mwisho!!

*Wewe ulitakaje? Kama wapiga kura walikuwa wanataka uwape rushwa kwanza ndio wakuchague shida iko wapi kama mgombea naye akawapa rushwa halafu wakamchagua.
 
Je, ni kina nani hao wenye kisu kikali walioshinda?
Tupe info ni kiasi gani mlipewa na kila mgombea ili tuweke kwenye kumbukumbu zetu.
 
Ndugu zangu mimi kama mwanaCCM nipo ndani ya huu mkutano mkuu wa uchaguzi ndani ya jumuiya hii ya chama lakini yanayotendeka humu ndani kwa kweli sikubaliani nayo na ndio mana hata CHADEMA wanapotusema nje ni vema tukawa waungwana na kukubali kuwa ni vema tukajaribu kubadilika lakini ni vigumu mana tunaendelea kuwahadaa watanzania kuwa tupo kuwatetea wao.
Mimi nipo ndani ya CCM hapa katika kikao hiki lakini siungi mkono vitendo vya rushwa vinavyoendelea kuitafuna CCM mpaka sasa ndio matokeo yanatangazwa ya washindi wa uchaguzi lakini ukweli ni kwamba wanatangazwa waliofanikiwa kutoa fedha na kuweza kuchaguliwa sasa hiki ni chama gani kama mpaka utoe fedha ndio uchaguliwe.
HUU NDIO UCHWARA UNAOENDELEA KUWAPA UMAARUFU WAPINZANI WETU PALE TUNAPOKUWA WAGUMU KUJIREKEBISHA.
HAPA NDIO MATOKEO YANAANZA KUTANGAZWA PUNDE NITAYAJUMUISHA HUMU ILA TUNASIKITISHWA MAANA BILA KUWA NA PESA HUWEZI ONGOZA UVCCM NA KWELI VIJANA TUMEONESHA MFANO MBOVU MANA TUMESHINDWA KUSHIKAMANA NA KUTETEA SWALA LA RUSHWA.
MATOKEO YA MWENYEKITI NI WIZI MTUPU MTU KWA SABABU ANAO UWEZO WA KUTOA PESA KATOA NA KAPITA DUUUUUUUUUUU NAUMIA HAPA KAMA NIMLUKIE LUKUVI MANA NDIO ANATANGAZA MATOKEO MANA NAPATA HASIRA SANA.
MWENYEKITI SADIFA MAKAMU MBONI MHITA HAYA NDIO MATOKEO YALIYOPANGWA NA WANAOJIITA VIGOGO WA CHAMA MIMI KWELI NASEMA KAMA TUNAHITAJI KWENDA MBELE NA CCM YETU VEMA TUBADILIKE .
nielewe kwa kukuambia ukweli, sio rushwa tu iliyopo CCM na unafiki pia kwa mfano ww umeshindwa kuchagua kati ya haki na dhuluma na kuwa katikati ya haki na dhuluma kwa kuchukia rushwa inayofanyika ndani ya CCM na ww kuendelea kuwa CCM.
 
Mleta mada, wewe na wenzako ambao mmechukizwa na mfumo mzima wa vitendo vya rushwa ndani ya CCM, tunawataka leo leo mfanye haya;

1/Kusanyikeni kwa pamoja na kuita vyombo vya habari na kuyazungumza hayo yote.

2/Mjivue uanachama wa CCM na kujiunga rasmi CHADEMA hadharani.
 
Umelazimishwa huko MAGAMBA? njoo huku CDM, but you must know rushwa ipo pande zote na siku zote hata enzi ya bwana yetu Yesu ilikuwepo, usidanganywe kuwa kuna sehemu hakuna rushwa, nenda HOSPTAL, POLICE, MAHAKAMA, JESHI, VYUO VYA ELIMU, SECONDARI, UHAMIAJI, CCM, CDM na kila sehemu zote unazozijua utaikuta tu. wewe unaweza kataa kutoa BUKU ndugu yako atibiwe?
 
Yaani leo ndio unalitambua hilo? Pole..chama kinawenyewe hicho...c chama cha wakulima na wafanyakazi tena. Lakini ndivyo ilivyo "SIKIO LA KUFA HUWA HALISIKII DAWA"
Barikiwa sana watu wa Mungu mnaoomba juu ya nchi hii...iko siku hata yasiyotarajiwa kuwa hadharani yatajitokeza...endeleeni kuomba!

Ndugu zangu mimi kama mwanaCCM nipo ndani ya huu mkutano mkuu wa uchaguzi ndani ya jumuiya hii ya chama lakini yanayotendeka humu ndani kwa kweli sikubaliani nayo na ndio mana hata CHADEMA wanapotusema nje ni vema tukawa waungwana na kukubali kuwa ni vema tukajaribu kubadilika lakini ni vigumu mana tunaendelea kuwahadaa watanzania kuwa tupo kuwatetea wao.
Mimi nipo ndani ya CCM hapa katika kikao hiki lakini siungi mkono vitendo vya rushwa vinavyoendelea kuitafuna CCM mpaka sasa ndio matokeo yanatangazwa ya washindi wa uchaguzi lakini ukweli ni kwamba wanatangazwa waliofanikiwa kutoa fedha na kuweza kuchaguliwa sasa hiki ni chama gani kama mpaka utoe fedha ndio uchaguliwe.
HUU NDIO UCHWARA UNAOENDELEA KUWAPA UMAARUFU WAPINZANI WETU PALE TUNAPOKUWA WAGUMU KUJIREKEBISHA.
HAPA NDIO MATOKEO YANAANZA KUTANGAZWA PUNDE NITAYAJUMUISHA HUMU ILA TUNASIKITISHWA MAANA BILA KUWA NA PESA HUWEZI ONGOZA UVCCM NA KWELI VIJANA TUMEONESHA MFANO MBOVU MANA TUMESHINDWA KUSHIKAMANA NA KUTETEA SWALA LA RUSHWA.
MATOKEO YA MWENYEKITI NI WIZI MTUPU MTU KWA SABABU ANAO UWEZO WA KUTOA PESA KATOA NA KAPITA DUUUUUUUUUUU NAUMIA HAPA KAMA NIMLUKIE LUKUVI MANA NDIO ANATANGAZA MATOKEO MANA NAPATA HASIRA SANA.
MWENYEKITI SADIFA MAKAMU MBONI MHITA HAYA NDIO MATOKEO YALIYOPANGWA NA WANAOJIITA VIGOGO WA CHAMA MIMI KWELI NASEMA KAMA TUNAHITAJI KWENDA MBELE NA CCM YETU VEMA TUBADILIKE .
 
Kimsingi matokeo yameshatangazwa na msimamizi wa Uchaguzi..,na kwa maana hiyo basi.,SADIFAH ndie mwenyekiti kwa sasa na Mboni Mhita ni makamu wa umoja huo.

Nafasi nyingine za U-NEC kutoka kundi la vijana ni;
Bara;
1) Jerry Slaa
2) Deo Ndejembi
3) Anthony Mavunde
4) Jonas Nkya
5) Sophia Kizigo
6) Fatuma Jumbe(Mwalimu)
Zanzibar;
1) Lulu Mshamu
2) Michael C Bundala
3) Shaka Hamau Shaka
4) Daud Ismail

Nafasi ya wajumbe wa baraza kuu ni;
Bara;
1) Halima Bulembo
2) Zainab Katimba
3) Sato Esther Makune
4) Gewe
5) Mwalimu

Visiwani;
1) Mwanawewe Ussi Yahya
2) Asya Ally Khamis
3) Yohana Peter Martin
4) Omar Issa Ally
5) Wanu Hafidh Ameir

Mwakilishi wa Kutoka Vijana kwenda Wazazi ni;
1) David Mwakiposa.

Mwakilishi wa kutoka Vijana Kwenda Uwt.
1) Hawa Mchafu.
 
Mkuu si umesikia na ndumba zilikuwepo za kumwaga???Aaagh!!Waacheni mashetani yafanye kazi yao ya kishetani bhana,ipo siku tu!!!!

Ni kweli tena nasikia kulikuwa na hirizi nyekundu...hahahaha sijui kuna rangi gani nyingine ....
 
Ukweli ulio hai ni kwamba vijana ambao bado wapo ndani ya chama cha mapinduzi wanamasilahi yao binafsi na si kwa kuikomboa nchi yetu katika gonjwa sungu la umasikini. na vijana wengine wakiwa na ufahamu na elimu ya kutosha ya kuweza kupambanua kwa kina mambo machafu yanayofanywa na viongozi waandamizi wa chama hicho. so na hili kundi lingine ni njaa na kutokujitambua ndo maana mpo mpaka sasa? "KIJANA MWENYE UCHUNGU NA NCHI HII HAWEZI KUWAUNGA MKONO MAFISADI".
 
Toka huko CCM, kaa kando fikiria na fanya uamzi wa nini uwafanyie watanzania nafsi yako itakuwa na amani.
 
Ni kweli tena nasikia kulikuwa na hirizi nyekundu...hahahaha sijui kuna rangi gani nyingine ....
Ndio hivyo ukila pesa yao kama wameshaichezea manyanga unaweza uchague usie mtarajia,magamba yanaamini sana ndumba kuliko ulinzi wa Mungu,hata mwenyekiti si alikuwa amewekewa ulinzi na yule sheikh almaruhum,mtabiri wa nyota!!!Maji yanafuata mkondo!!
 
Mtoa mada unafanya nini na wenye Dhambi. Unalalamika wakati na wewe bado umo ndani na wezi? Toka njee haraka njoo Chadema tuwakomboe wanyonge ambao mnawanyongea Dodoma.
 
Rais aache kulalamika. Aoneshe uongozi. Afanye maamuzi magumu. Lakini kama walishindwa kufanaya maamuzi magumu kwa lowasa, ni vigumu sana kwa sasa. Huu ni mwanzo wa mwisho wa ccm. Nakushauri (why by name) vua gamba vaa gwanda.

Huyo wa kutoa maamuzi magumu ni nani na wote hiyo ndio njia iliyowafikisha hapo walipo.KJ hana huo ubavu.
 
Vua Gamba ungana na Makamanda uwezi kuacha kufuatwa na nzi kama unatembea na kinyesi.
 
Back
Top Bottom