Yanayojiri katika Sherehe za Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12/01 /2024

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
UTV, ZBC 1, TBC, channel ten na etc.

Wageni waalikwa ni marais mbalimbali wa kikanda na wawakilishi

Poul Kagema wa Rwanda
Yeweri mseven wa Uganda
Gachagua VP wa kenya na wengine wengi.

Mgeni rasmi ni rais Samia suluhu Hasani.

Kwa sasa raisi wa Zanzibar Hussen Mwinyi amemaliza kukagua gwaride la heshima huku akiwasalimia wageni mmoja mmoja na kuhitimisha na raisi Samia suluhu Hasani huku Rais Kikwete kiwawawakili wastaafu.

Sherehe hizi ziko poa sana hasa muda ni jioni lakini pia mazingira yako safi sana kuliko zile za kwetu za muungano.

Majeshi ambapo ulinzi na usalama ni suala la muungano basi wote wapo hapo

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Haya mabango yalikuwepo ?

DSC_2469.jpg
 
Back
Top Bottom