mauki barakuda
Senior Member
- Apr 17, 2015
- 126
- 31
Tukipata wabunge 10 kama Mbatia, Tanzania tutapiga hatua. Kwa mchango wake wa leo hadi Magufuli kaloa. Yaani kawa mpole cz ni true fact!!
Be blessed MBATIA... SALUTE!!
Be blessed MBATIA... SALUTE!!