Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Just wondering,is this a coincidence?
John Pombe MAgufuli---JPM-Chemistry & Math Teacher,DOB 29 Oktoba, 1959,Millitary:TMA-Arusha
Majaliwa Kassim Majaliwa---MKM-Teacher,DOB 22 December 1960, Millitary: Makutopora JKT
Job Yustino Ndugai---JYN-Agriculturist,DOB21 January 1960 Millitary: Ruvu and Maramba
Dr Tulia Ackson- Postgraduate Teaching Assistant(Mwalimu)-

Its good to see,waalimu are emerging in the political sphere??They are the same Age group(Mid 50?s),wote walianza na kazi za kawaida,WAKAJIONGEZA?except for dada lawyer.


Kuna kaubishi flani cha doctors teachers and farmers nakapendaga
teachers are more important because they give skills as if they are building their minds and therefore , these students may become doctors , engineers , pharmacists ...etc , so it's always all about the "base"!!
Then farmers are the most important ones. They produce the food that both, doctors and teachers eat. And without food they would die before than become teachers or doctors.


Sasa tumepata teachers and a farmer?I don?t have political sides,but wacha KAZI iendelee.
Teachers know best.
 
Rais Mwanza, Makamu Zanzibar, Waziri Mkuu Lindi...... wangekua wale wenzetu sijui kama ingetokea hii!

Wale ingekuwa hivi:-
1:Rais-Arusha
2:Vice-Zanzibar (katiba imewabana tu)
3:pM-Kilimanjaro
4:Speaker-Arusha
5:Naibu speaker-Dar
6:Cabinet-80% wangetoka kaskazini.

Haina haja ya kubishana sana,rejea viti maalumu utapata jibu.
 
pasco punguza propaganda binafsi namfahamu majaliwa,hana undugu na salma kikwete.namjua tangu akiwa anafundisha chuo cha ualimu mtwara na alikuwa kocha wa timu ya soka pale mtwara, hayuko aggressive kama magufuli lakini jamaa ni mchapakazi

swala si kuchapa kazi swala ni best brain inatakiwa ndo maana kuna ile kauli kufanya kazi kwa bidii na maarifa! Nchi ilipofika inahitaji best brain wa kubuni mikakati ya kutukwamua
 
" Nimewaona Saidi Kubenea na Mbatia wakifurahia wakati jina la Kasim Majaliwa likitajwa"- Kangi Lugola

Baadae Kubenea aliomba Lugola kufuta kauli yake kwan yy hakufanya hivyo.

Hali hii ilileta mtafaruku mkubwa kidogo hali iliyopelekea kubenea kutopata nafasi ya kuchangia mjadala.

Kangi lugola baadae alifuta kauli yake baada ya Mh Mbatia kutaka muongozo wa Spika
 
swala si kuchapa kazi swala ni best brain inatakiwa ndo maana kuna ile kauli kufanya kazi kwa bidii na maarifa! Nchi ilipofika inahitaji best brain wa kubuni mikakati ya kutukwamua

Hao best brain sijui nini wasubiri 2080, hao unaowaita wewe best brain wengi wao wako hivyo kwa manufaa yao.

Utakuta mtu ana akili kweli lakini ku-impart that knowledge kwa mtu mwingine ni mgogoro mkubwa.
Fuatilia utagungua niyasemayo ni kweli
 
Shiiiiiiit!!!
Wale ingekuwa hivi:-
1:Rais-Arusha
2:Vice-Zanzibar (katiba imewabana tu)
3:pM-Kilimanjaro
4:Speaker-Arusha
5:Naibu speaker-Dar
6:Cabinet-80% wangetoka kaskazini.

Haina haja ya kubishana sana,rejea viti maalumu utapata jibu.
 
Binafs simjui sana Kassim, ila nimefurahi kwamba limekuja jina tofauti na yaliyokuwa yanatajwa mitandaoni. Tusubiri utendaji wake ila alete suruhisho la Zanzibar bila kurudiwa kwa uchaguzi. Mshindi atangazwe
 
Mwaka gani alikuwa mwalimu wa chuo cha ualimu? Ina maana wewe ndugu wa Salma wote unawafahamu? Ukiambiwa mimi ni ndugu wa Magufuli utakataa? Ha ha ha haaaaa, watu wengine bwana!!

Mkuu sitaki kwenda ndani sana,mke wa Majaliwa ni ndugu yangu. Majaliwa hana undugu na Salma Kikwete

Kwa walioishi Mtwara miaka ya 1995-2000 wengi wanamfahamu, alikuwa kocha kuna timu inaitwa Congo
 
Back
Top Bottom