Elections 2010 Yanayoendelea katika mdahalo - Nyerere Day from Nkrumah Hall

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
great thinkers mliopo hapo dar na haswa udsm,vp mdahalo umeanza?wakina butiku,ulimwengu wamefika?leteni ya huko hapa javini tuendeleze harakati zetu za ukombozi
 
Ngoja tupate mambo ya tofauti leo kutoka kwa majeruhi hao wa siasa za CCM!
 
Mmmmh!!!lyaitama,baregu,ulimwengu,butiku, je salm ahmed salm naye vp?
 
butiku asiogope mtu leo, abwatuke ili kumuenzi nyerere kwa vitendo.
salim ahmed salim atakuwepo? warioba vp?
 
Hawawezi kubatuka sana leo kwani wanaogopa kuonekana wanaipigia Chadema kampeni. Unajua ukisema ukweli wa kumuenzi baba wa Taifa, lazima CCM wakuchukie kwani utaonekana unaanika madhambi yao kama Chadema inavyofanya.
Kwa mfano, jana hapa Karagwe Slaa alipowaeleza wananchi juu ya elimu na afya bure; na kuwaeleza namna fedha za kutumika kutoa afya na elimu bure zilivyopotelea kwa mafisadi, walilipuka na kutaka kumbeba. Haya ukiyasema katika mdahalo wa leo wa kumuenzi baba wa Taifa, lazima ccm wakuchukie; na Butiku, Salim, Lwaitama nk sidhani watakuwa tayari kuiumbua ccm wakati huu wa dakika za majeruhi
 
Attachments

  • Dr.SLAA IN KARAGWE.pdf
    534.9 KB · Views: 100

Aisee kamaKabuzi, unaonaje hizo picha uziweke kwa mtindo wa moja moja, ilia angalau tuweza kuziona kwa size ya kuridhisha. Na pia napendekeza anzisha thread nyingine ya Dr Slaa in karagwe, nafiikiri hiyo itakaa vizuri. tunatamani kuona Rais wetu anafanya nini huko kwenye kampeni.
 
Pole sana ndugu yangu Lukolo, utaalamu wangu mdogo nimeshindwa kuziweka maana ni nyingi na size inakuwa kubwa. Ndiyo maana nimeziweka pdf.
 
u caan burn organisation,kill pipo,but revolutionary ideas will never die,hata kama tbc hawataki kurusha huo mdahalo wa hapo udsm,kilichojadiliwa hapo watu tutakipata tu
 
Back
Top Bottom