YANAYOENDELEA bungeni sasa kupitisha bajeti bila kolamu ni aibu nyingine

Unaota ww, na aliyekutuma mwambie umeshindwa kazi, kazi aliyokupa huiwezi. CCM kuingia madarakani 2015 ni lazima utake usitake


unaongea na watu, usinyeshe mvua wenzio hawana myavuli!!! teh teh
 
Kusema kweli Ndugai ni janga la bunge. Inakuwaje anashindwa kusimamia kanuni za Bunge?. Hata kama ameamurishwa kwamba ni lazima leo makadirio ya wizara ya kilimo yapitishwe si za mbayuwayu angechanganya na za kwake pia!

BTW, hivi hao wabunge wote wameenda wapi leo? Ina maana wote kweli wako ZNZ kwenye maombolezi?

Kweli it is another silly season

wapo mnadani wanakula nyama
mkuu wapo chako ni chetu c wajua leo weekend.
 
Back
Top Bottom