YANAYOENDELEA bungeni sasa kupitisha bajeti bila kolamu ni aibu nyingine

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Akidi haijatimia kufanya maamuzi ndugai analazimisha maamuzi yafanywe.
Pamoja na kusomewa na james mbatia, kanuni inayowaongoza katika hilo, HUYU MNAMWITA NDUGAI, hayuko tayari kuelewa. Ni ubabe kama mchawi vile
 
Member wengine wanaamka na kupost vituko kama Bi Kirobo anavyoongoza Bunge. jogi unafikiri kila mtu anaangalia hiyo sehemu ya mipasho, mbona husomeki hebu lete habari kamili sio unaanzia kati na kumalizia mwanzo.

Husomeki mwana
 
mbona unanishambulia mkuu, isijekuwa wewe ndio huwezi kuelewa!! Nimekwambia akidi haijatimia (wabunge ni wachache bungeni)
 
Wakuu, kinachoendelea bungeni sasa hivi ni aibua nyingine...it is another sign of a very silly season. James Mbatia ametoa hoja na ikaungwa mkono na wabunge kuwa akidi ndani ya bunge haiko timamu. Haistahili wala haiwezi kupitisha bajeti. Alihesabu wabunge waliokuwemo hawazidi 110, kolamu inatakiwa kuwa almost 175.

Akili ya Ndugai haikubali kuliona hilo. Amelazimisha bunge liendelee kupitisha bajeti bila idadi inayostahili kuwepo bungeni. Hoja ya Mbatia imesisitizwa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kwa kutumia kanuni ya 112 na 77. Pia Wabunge, Mkosamali na Machali walisisitiza.

Wakuu hii ni aibu nyingine kwa taifa hili. Bunge linachezea akili za Watanzania sasa. Bunge linafuja fedha za walipa kodi wazi wazi kabisa. Kanuni zinasiginwa waziwazi kwa manufaa ya serikali ya CCM. It is a disgrace to the entire parliamentary system. Ni aibu kw ataifa ikisimamiwa na Ndugai, ambaye leo ameonesha beyond repair kuwa ama hawezi kazi hiyo aliyoombwa agombee au amemua kuwa mlinzi namba moja wa chama chake bungeni.

Itakuwa ni aibu kubwa kwa Watanzania wote wanaoipenda nchi yao, kuendelea kunyamazia huu...it is beyond repair once again in life time with nyinyiemu.
 
Mr kanuni leo ameng'ang'aniwa kanuni hzo hzo anazokuwanga anajifcha naza leo hazmfevi kabsa!Oya nani wewe....ikulu...madamu supika...leteni kimemo....Mr kituko ooh am sorry ni Mr Funga akili siyo nywele ooh samawani Mh.Dungu wa Gai afanye maamuzi.Akifanya maamuzi msimlaumu.....
 
kina Ndugai siku hizi wanafanya mambo ya ajabu. kwenye katiba mpya spika wa bunge na naibu spika wasiwe wanachama wa chama chochote.
 
Wakuu, kinachoendelea bungeni sasa hivi ni aibua nyingine...it is another sign of a very silly season. James Mbatia ametoa hoja na ikaungwa mkono na wabunge kuwa akidi ndani ya bunge haiko timamu. Haistahili wala haiwezi kupitisha bajeti. Alihesabu wabunge waliokuwemo hawazidi 110, kolamu inatakiwa kuwa almost 175.

Akili ya Ndugai haikubali kuliona hilo. Amelazimisha bunge liendelee kupitisha bajeti bila idadi inayostahili kuwepo bungeni. Hoja ya Mbatia imesisitizwa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kwa kutumia kanuni ya 112 na 77. Pia Wabunge, Mkosamali na Machali walisisitiza.

Wakuu hii ni aibu nyingine kwa taifa hili. Bunge linachezea akili za Watanzania sasa. Bunge linafuja fedha za walipa kodi wazi wazi kabisa. Kanuni zinasiginwa waziwazi kwa manufaa ya serikali ya CCM. It is a disgrace to the entire parliamentary system. Ni aibu kw ataifa ikisimamiwa na Ndugai, ambaye leo ameonesha beyond repair kuwa ama hawezi kazi hiyo aliyoombwa agombee au amemua kuwa mlinzi namba moja wa chama chake bungeni.

Itakuwa ni aibu kubwa kwa Watanzania wote wanaoipenda nchi yao, kuendelea kunyamazia huu...it is beyond repair once again in life time with nyinyiemu.

Ujinga huu ni kuitoa CCM madarakani vinginevyo hakuna la zaidi. Vyama vya upinzani viingie vijijini kwa umoja kuwabadilisha/kuwaelimisha watanzania waiondoe madarakani vinginevyo hakuna la maana litakalo fanyka. Katiba mpya has to address those issues. Spika and his/her team hawawezi kuwa na madaraka makubwa ya kuwaamulia wabunge wafanye nini.
 
nashukuru mbunge wangu(lema) sio sehemu ya utumbo huu unaoendelea bungeni.ccm imeamua kumwaga mboga kabla haijafutika rasmi 2015
 
Pengine anaogopa gharama za kuendelea kuwaweka wabunge hapa dodoma lakini kwa kolamu hii atalegea tu
 
Ni vigumu kweli kuamini kuwa hawa watu wameshafikia hatua ya kuwa insensitive kiasi hiki. Unaweza kufikiri ni maigizo yanayoendelea bungeni. Wanaendelea kutimiza unabii. Wanatekeleza msemo wa "if God wants to destroy u, he makes u blind". Huoni. Husikii. Ukisikia ni mwangwi wa mawazo yako tu, then unaona umefikiria, umeona na umesikia. No wonder hawaoni hata umuhimu wa kuahirisha shughuli za bunge, ili bunge lijadili suala la dharura la ajali ya meli iliyozama na kuua watu huko Chumbe, Zanzibar.
 
ALIPOSIMAMA NDUGAI KUTOA TAFAKURI YAKE ILIYOMWONGOZA "KUJIRIDHISHA" Kwenye kasikirini kangu pametokea maandishi "BAD OR NO SIGNAL" Makene update tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Sikilizeni waheshimiwa wabunge.... Acheni mambo ya kigaidi.... Mheshimwa Mnyika toka nje,

Nasema mnatafuta umaarufu wa kijinga, Mbunge umemuuliza vibaya swali waziri mkuu, ulitakiwa uulize hivii..... waziri mkuu jibu sasa hili swali!!!!

Kudadeki ccm!!
 
Kusema kweli Ndugai ni janga la bunge. Inakuwaje anashindwa kusimamia kanuni za Bunge?. Hata kama ameamurishwa kwamba ni lazima leo makadirio ya wizara ya kilimo yapitishwe si za mbayuwayu angechanganya na za kwake pia!

BTW, hivi hao wabunge wote wameenda wapi leo? Ina maana wote kweli wako ZNZ kwenye maombolezi?

Kweli it is another silly season
 
If you dont know where are you going any road will take you there. May Job Ndugai thinks that we are still in a single party system. Pitty and shame on him
 
Kama wabunge wamekubali hoja ya Mbatia, Ndugai hawezi kuwalazimisha kupitisha budget. Mwl. Nyerere (RIP) aliwahi kusema kwamba ''kama mtu akikushauri jambo la kipumbavu na wewe ukalikubali, basi atakudharau''

Ndugai keshaona Wabunge wengi hamnazo na anajua akidindisha tu, watakubali. Hoja ya Mbatia inaonekana kama ''upepo tu, na utapita haraka''
 
Kwa nini na hao waliokuwa wanaomba miongozo wasitoke mjengoni ili hiyo kolamu ionekane empty?Kwa nini wawe sehemu ya kuvunja kanuni walizojitungia wao wanyewe ?watoke basi,Haaaa.....Au ndio tangu walivyotoka jana hawarudi tena? NA MAGAMBA JE? NAO LEO WAMEMGOMEA BI KIROBOTO?
UWIIIIII............ 2015 MBONA MBALI HIVI SHA CHOKA KUENDESHWA KIBUBUSA HIVI
 
Back
Top Bottom