Yametimia ya Magufuli baki: Juma Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame

Huyu ana matatizo yake binafsi. Ameona muda unayoyoma na pengine uhakika wa kurejea mjengoni hana anaanza kampeni isiyokuwa na mashiko.

[HASHTAG]#prayfortundulissu[/HASHTAG]
Kwani ikipitishwa leo, itaanza kutumika kwenye awamu hii? Siyo awamu ya kuanzia 2020 -?

Maana hata ile ya madini haikuathiri wawekezaji waliokuwepo bali wajao.
 
Watanzania mlivyo mazuzu mnaweza Ipitisha , watu tuko nje ya Tanzania tunasubiri magufuli amalize mda wake turudi tz
 
Mfalme yupo midway kwenye miaka mitano. Imeanza kuingia akilini mwake kwamba miaka kumi si mingi kihivyo. Punde atakuwa Rais mstaafu!
Why not borrow a leaf from the tutsi empire? First, extend the period. Meanwhile, start working on removing the term limit. Then you can rule forever or until you get tired like Jose Dos Santos. Else, cling to power like Mugabe. It's a question of doing a Kagame, Museveni, Obiang or Bob Mugabe.
Why emulate simple souls like Joachim Chisanyo, Festus Mogae?
 
Hii Sio moja ya zile Movies zetu za siku zote. ???

Part 1: Hoja ya mabadiliko ya Katiba, itapitishwa bungeni kwa wingi "wao".

Part 2: mwenyewe mamlaka ya kusaini mabadiliko hayo HATAKUBALIANA nao... atakua Popular kwa wananchi na jumuiya ya Kimataifa.

Ngoja tuone.. pengine siko sahihi.
 
Kwa nini Hoja hii ije wakati huu wa udhuni kwa watanzania??, au lengo ni kupotezea Issue ya kipenzi na Shujaa wa watanzania Tundu Lisu???!, Tumepachi hiyo.
 
Tafadhali mwana simba mwenzangu kama unatafuta uwaziri tumia njia nyingine.Suala lako halina mashiko subili mabadiliko mengine
 
Walikose mkakati. Magufuli baki ilikuka kiboya sana, wakajishtukia. Huyu katumwa aje hivi, Nkamia hana akili za kuandaa muswada binafsi.
 
Ukiwa muoga sana,ipo siku utakimbia hata kivuli chako.


Mnamsingizia Magufuli kwamba amebana maisha yamekuwa magumu. Acheni dhambi! Mzee sio kwamba amebana, Mzee ameshindwa kuboresha hali ya maisha ya watanzania.
You need to know that!
Hii kitendo ya kukopa kwa siri, bila kushirikisha bunge, na kukanusha hadi wakopeshaji wenyewe ndio wanasema hadharani, ni maelezo tosha.

[HASHTAG]#PrayForLissu[/HASHTAG]
 
Ukiyajua yafanywayo kwa siri hata kwa maslahi ya taifa utaitwa msaliti
 
Ukiwa muoga sana,ipo siku utakimbia hata kivuli chako.


Mnamsingizia Magufuli kwamba amebana maisha yamekuwa magumu. Acheni dhambi! Mzee sio kwamba amebana, Mzee ameshindwa kuboresha hali ya maisha ya watanzania.
You need to know that!
Hii kitendo ya kukopa kwa siri, bila kushirikisha bunge, na kukanusha hadi wakopeshaji wenyewe ndio wanasema hadharani, ni maelezo tosha.

[HASHTAG]#PrayForLissu[/HASHTAG]
Natamani malaika waizime mitandao ya kijamii.....pogba duma 200009999
 
Magufuli atawaumiza sana vichwa tena sana na bado 2020 ndio mtalokota makopo.
 
Back
Top Bottom