Columbus JF-Expert Member Nov 5, 2010 2,002 648 Sep 27, 2012 #1 Used Yamaha DT 175 inauzwa, iko katika hali nzuri inatembea. Kwa muhitaji tuma PM.
Enny JF-Expert Member May 26, 2009 962 130 Sep 27, 2012 #2 Ndio kitu gani hicho pikipiki, gari au bajaj?
Mabreka JF-Expert Member Aug 29, 2012 709 207 Sep 27, 2012 #3 mkuu tuwekee picha. Ina usajili wa serikali? manake hizi nyingi utakuta STJ alafu mtu alishajimilikisha. ni vyema ukaweka na bei ikawa rahisi mtu atume pm au akaushe
mkuu tuwekee picha. Ina usajili wa serikali? manake hizi nyingi utakuta STJ alafu mtu alishajimilikisha. ni vyema ukaweka na bei ikawa rahisi mtu atume pm au akaushe
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,459 29,153 Sep 27, 2012 #4 Enny said: Ndio kitu gani hicho pikipiki, gari au bajaj? Click to expand... Mashine/Injini ya Boti!!