Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,621
- 3,514
sante bi shosti nitahitaji ushauri wako sana tu!
Feel free when your mind is made up!
sante bi shosti nitahitaji ushauri wako sana tu!
once a ......... always a ..........hata akivalishwa tai au mawani ya jua, yale yale tu!!
mmh!!! Ni jf tu au ulikua ukimuwaza fingafinga?nilkua sili shosti mbona leo nitanenepa!
usisumbuke hua sijibu pm labda nikuanze mm!
Unanikuna ww umetisha,Mx
ulitaka niwe idle?
ooh!! Kumbe basi mm je?hajakonda ..kawa model ..mimi ndio ninaowapenda hawa
Feel free when your mind is made up!
kuna picha moja mkama kakaa kwenye kiti huku bulungut u linaonekana nikiipata nitamuonyesha huyu binti nadhani hamu ya ubunge itakufaKwa kiu ya Ubunge ataweza tu. Mbona wenzake wameweza?
Siwezi taka chochote kuhusiana na wewe.
ww ebu tueleze maana ya hizi swaga za mx umeziibia wapi??u baki bebi,nilikuwa nimesha take u place,bora u baki,mx
Hahahahahahaha..wabane mbavu watoto wamama,naona jasho linawatoka,Mxnimechoka kua mpoleee nitalipa accordingly!
ooh!! Kumbe basi mm je?
Hahahahahahaha..wabane mbavu watoto wamama,naona jasho linawatoka,Mx
Kwani vp?jamani.lol,Mxww ebu tueleze maana ya hizi swaga za mx umeziibia wapi??
Hahahaha,wabane mbavu 2,Mxhapo wala cna mpango wa kumparua mtu! je nikijipanga?
Karibu mwaya, tumekumisije!
Hesabu kura yangu tayari... lakini tafuta program bwana, siwezi kukuvote just sababu wewe ni mwanamke kijana kuliko wengine/
Karibu sana!!!