Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Hahaha!hata mie nime miss sn huyu mdada lol!

Alikuwa kiboko ya njia..

Alisema kulala naye ni Tshs Mil. 1.. Kuna jamaa ali-bargain,ikatolewa elfu kumi!

Pia alisabisha kuibuka kwa mtu aliyejiita "mrs ..." nasahau jina lile la mwana JF Chitchat mwenzetu!
 
Ni story ndef lkn naifupisha. Mimi ni mpoleeee original baada ya kuhisi siwezi himili vishindo vya members wanaonibeza nikabadilisha pas-wed yang nikitumia wxyzwxw yaani sikumbuki hata nilizipanga vipi nikiw na nia yakuto rud ten hapa! nikachukua hio pas-wed na kuitplia mbali, in fact nilitafna hicho kipisi! yamenshinda mbooooona hadi nimeshshuka! nalala naota jf na membaza wanipao raha. nakaa nawaza jf, yaaaani ful kukosa raha! nikanona why not nisajil upya nimuombe Cookie mod wa chichat aniunganishe na ile ya zamani! cookie naahidi sirudiii tena! nina habari njema nyingine, nina mpango wa kujiandaa kuwa mbunge kijana mwanamke kuliko wote, shupavu na anaejiweza ila mpole. ushauri plz.

I love you all who love me.


Hii habari imenivutia. Yukwapi muhusika?
 
dada mpoleee, mbona unaongea hivyo ...asa hapa upole unatoka wapi kama kutwa unapiga mdomo tu..
 
Back
Top Bottom