MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,009
- 2,171
Kabla ya uchaguzi wa Umoja wa vijana kulizuka mvutano,wa makundi yanayotaka kuwepo kwa mtu wao hususan kutoka bara ,ndipo Rais akaleta mamuzi kiongozi apatikane kutoka zanzibar ili kutuliza hali ile na bila kuonekana kuwa Rais anapendelea kundi fulani ijapokuwa analo kundi lake ,sasa nitamnukuu masauni, juzi katika mahojiano kabla ya kujiuzulu aliuliwa jee ni kweli umebuni cheti cha kuzaliwa? akanena laa, nitabunije akauliza?akaendelea kusema kuwa vyombo vyote vya chama na serekali,vikiwemo vya Usalama wa taifa wameridhika na profile yangu ,na ndio nikapewa nafasi hii ,sasa tujiulize hivi ni kweli Usalama wa taifa walikuwa na maruwi ruwi kiasi hchi ?wachilia mbali hizo tasisi nyingine kama utazingatia kwa undani na kama ni kweli aliyosema masauni kuwa usalama wa Taifa wameridhia ya profile yake kwa maaana hiyo ilipangwa wampe huyu kijana uongozi wa muda mfupi na itafikapofika wakati fulani hii kashifa itolewe ,alazimishwe kujiuzulu na yule ambae anatokana na moja kati ya yale makundi yanyovutana ashike madara .
Nimepigia mstari kwa mshangao. Alikuwa anatafutwa kiongozi wa serikali au wa chama cha siasa?
Kumbe kweli tuna matumizi mabaya sana ya taasisi za serikali. Unatumia vyombo vya siasa na hata usalama wa Taifa kumtafuta kiongozi wa vijana wa CCM! Stupid country!