Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,917
Bujibuji kapeleka kulitambuliosha kwao li jimama lililomzidi miaka mitano.
Jimama lina mtoto mmoja, bujibuji hana mtoto wa kusingiziwa.
Ndugu wamemkataa kata kata jimama hilo, lakini mwenzetu bujibuji anadai kwamba roho yake hapo imefika, na huyo jimama wanaendana tabia zao zote.
Binafsi nimemwambia bujibuji ashikilie uzi huohuo ilhali wanapendana kwa dhati.
Umri wa weanandoa si kipimo cha ndoa kudumu muda mrefu.
Nyie wenzangu mnamshaurije huyu kaka yetu?