YALIYOMPATA mwenzetu BUJIBUJI NA MIJIMAMA YAKE.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,599
154,888
Bujibuji kapeleka kulitambuliosha kwao li jimama lililomzidi miaka mitano.
Jimama lina mtoto mmoja, bujibuji hana mtoto wa kusingiziwa.
Ndugu wamemkataa kata kata jimama hilo, lakini mwenzetu bujibuji anadai kwamba roho yake hapo imefika, na huyo jimama wanaendana tabia zao zote.
Binafsi nimemwambia bujibuji ashikilie uzi huohuo ilhali wanapendana kwa dhati.
Umri wa weanandoa si kipimo cha ndoa kudumu muda mrefu.
Nyie wenzangu mnamshaurije huyu kaka yetu?
 
HUYO NDIYO MKE MWEMA WAZAZI HAWATAKIWI KUWA NA UAMUZI MKUBWA KATIAKA HILO WAO WAMPATIE MALI AKAISHI NA MWENZIE.

House and riches are the inheritance of fathers: and a prudent wife is
from the LORD. - Proverbs 19:14
 
Ifike mahali tubadilike jamani mwanamke kukuzidi umri si kikwazo cha mapenzi maana kuna wanaume wengine walivyo inabidi wawe na mahusiano na wanawake waliowazidi umri ili waweze kuwaongoza vyema
 
Hongera Bujibuji. Kweli wewe umedata. Limama limekufundisha kazi na ukanogewa na unataka kufanya kweli. Mhhhhhhhhh ngoja nipumue kwanza. Ebo najua huyo atakuwa Miss bantu wa Uhakika.
 
Hongera Bujibuji. Kweli wewe umedata. Limama limekufundisha kazi na ukanogewa na unataka kufanya kweli. Mhhhhhhhhh ngoja nipumue kwanza. Bila shaka litakuwa lijimama la nguvu yaani Miss Bantu wa uhakika.
 
Ifike mahali tubadilike jamani mwanamke kukuzidi umri si kikwazo cha mapenzi maana kuna wanaume wengine walivyo inabidi wawe na mahusiano na wanawake waliowazidi umri ili waweze kuwaongoza vyema
kama amenizidi si atakuwa ananipa hata kichapo? Heheh! Bora nioa kadogodogo kuliko lidude hiloo na mchina juu.
 
Namshauri kinachomata ktk ndoa ni masikilizana na kuheshimiana, umri sio kipimo cha mapenzi. Waendelee lakini kabla ya mahusiano. WAKAPIME.
 
Bujibuji kapeleka kulitambuliosha kwao li jimama lililomzidi miaka mitano.
Jimama lina mtoto mmoja, bujibuji hana mtoto wa kusingiziwa.
Ndugu wamemkataa kata kata jimama hilo, lakini mwenzetu bujibuji anadai kwamba roho yake hapo imefika, na huyo jimama wanaendana tabia zao zote.
Binafsi nimemwambia bujibuji ashikilie uzi huohuo ilhali wanapendana kwa dhati.
Umri wa weanandoa si kipimo cha ndoa kudumu muda mrefu.
Nyie wenzangu mnamshaurije huyu kaka yetu?

jamani hivi hizi stori zina ukweli wowote
 
kumzidi umri na kuwa na mtoto hii si hoja, wangapi wameoa wasichana wabichi, only to realise they are not happy in their marriage, nadharia ya maisha ya ndoa ni pana sana and sometimes you need to compromise some of the thing, bujibuji if you are sure this is what you want, go for it , why not....
 
labda a more mature woman anamfaa mdau so kwake hapo ndo perfect match. nyie wengine itabidi muwakubali tu, japo mna reservations zenu lakinimaish ni yao
 
Kama hii story ni ya kweli
basi kila la kheri Bujibuji
hongera kwa kumpat a mwenza..
 
Back
Top Bottom