Yaliyojiri Uwanja wa Bwawani Karatu: Mkutano wa kampeni CCM - Oktoba 5, 2015

Uzuri ni kwamba wanaoweweseka mara matokeo yabandikwe, mara tukague mfumo na kujumlisha matokeo, mara kwa nini wafanya kazi wa tume wanahamishwa.........yaani full kuweweseka "Neno Tutashinda Saa mbili asubuhi halipo tena.
 
kadi wakuna walizo ludisha:help::help::help::help: Wanainchi wamepata fulsa ya kutizama FIESTA
 
ccm huwa hawajitambui kabisa, ni sawa na mwanamke mwenye sura mbaya halafu na yeye anajipitisha pitisha akijinasibu kwamba ni mzuri kwikwikwiiiiiiiiii
 
We ni mwongo hakukuwa na watu kabisa kweny mkutano wa magufuli star tv ilionesha watu wa mbele tu ni aibu tupu,magufuli mwenyewe wakati anahutubia anasema najua chadema ni wengi hapa,we mdau ni mwongo tuulize tuliokuwapo huko,kweli nimeamini kuna mapopo huku jf
 
Anayefikiri magufuli hatashinda apimwa akili,wenye kujua mambo WA nakwambia hiyo ndo rais wa awamu ya tano,
 
Lumumba team wangese tu

Uzoefu wako wa matusi sio hapa tu tangu kwa baba yako,ukamtukana slaa aliyekufa ujue ukiwa wako,so hautashidwa kumtukana watu humu,rahana ya matusi unatembea na wewe,
 
Uzoefu wako wa matusi sio hapa tu tangu kwa baba yako,ukamtukana slaa aliyekufa ujue ukiwa wako,so hautashidwa kumtukana watu humu,rahana ya matusi unatembea na wewe,
Hizo 10000 mnazopewa na masabur zitawatokea puani Waulize wenzenu nini wamefanywA
 
Hao wachache kwenye mkutano karatu walikuja kufuata mziki wangekuwa wamemfuata bubo wangeondoka wakati wao wanaondoka lakini cha kushangaza walibaki na burudani ya chege na temba hii ni kwa mujibu wa star tv...
Angalia louwasa akimaliza tu watu home
 
Back
Top Bottom